Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

Jk aliacha kuchukua Rent 10 years ya utawala wake kwny Jengo la Bilicanas kwa Mbowe kama malipo ya kazi ya kuisadia na kuifahamisha Jamii kuhusu tabia za Lowassa
 
Ila hasara tuliopata ya maandalizi si haba. Bora tusalie Na macho yetu viungo vingine vya mwili. UKUTA homa imeisha kwa aspirin tu bila drip na mseto. Ncha ya Mkuki haipigwi Ngumi".
 
Sina Usingizi !!!!!!.jpg
 
HahHahaha nothing goes for nothing...
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.

Wewe kama upo UVCCM au una cheo chochote ndani ya CCM au hata Serikalini inabidi ujiuzuru kwa ufupi wako wa kufikiri utamuangusha mueshimiwa, inawezekana nyinyi ndio mnaomshauri Rais, kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa hadaiwi tena kwa sababu ameahirisha UKUTA wake au ndio malipo yake hayo
 
Ajiuzuru!!!?
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Kwa hiyo mmeshatoa Rushwa tayari?.
 
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Kwa hiyo wanapeana Mali za Umma kwa mtindo huo?weka ushahidi bayana tujiridhishe.
 
Mbowe katulizwa na NHC na Lowassa katulizwa na Kinana, game over. Haya Ben kesho wewe na wenzako wa humu JF muingie mtaani kama kweli mnacho pigania ni kwa maslahi ya watanzania. Msipo fanya hivyo ndio tutajua mnampigania Mbowe.
Majebere, kulijua hilo kweli ni lazima usubiri kesho?
Mbona liko wazi sana hata kwa kipofu kulifehemu?
 
Ukuta ni sehemu tu ya kujenga na kuimarisha chama!. Sasa kama kuimarisha chama ni hasara, basi Utakuwa sahihi!
Uzuri Mbowe anaweza kufuja ruzuku ya chama atakavyo, nyumbu (wanachama) wanajifanya hawaoni.
 
Serikali ya safari hii haibembelezi. Lazima anyang'anyanywe
Mbona kama mnapinzana na mleta mada? Ukiangalia hapo ni kama kapewa option 2...ukuta ama billicans sasa ukisema serikali haibembelezi kama unakosea hivi.
 
Back
Top Bottom