Duh!!!! Inabidi tuanzie hapa kupima kama huyu jamaa ni asset au liability.Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
na polisiccm kesho wasipoingia na magari ya washawasha na mabomu ya machozi barabarani tutajua hawajui wanachokifanya kwa mwezi moja sasa, ila wanakurupushwa kwa maelekezo toka juuMbowe katulizwa na NHC na Lowassa katulizwa na Kinana, game over. Haya Ben kesho wewe na wenzako wa humu JF muingie mtaani kama kweli mnacho pigania ni kwa maslahi ya watanzania. Msipo fanya hivyo ndio tutajua mnampigania Mbowe.
Aaghhh! De mbu.r.u.laz bana!Kwahiyo inonyesha ccm mnavyojua kujikinga na mahovu yetu.. tukitane october 1
Hii ni Intelijensia ambayo wale wafanya mazoezi wanapaswa kuiazima,Igizo lingesumbua yale makundi yote hayalali?!Kamuulize Madereva anafahamu mziki wa lile tamkoKweli CHADEMA ni magwiji wa maigizo wamenichosha kabsa sina hamu nao tena.
Bado una nguvu za kuongea!Kwell ccm akili kisoda nguvu kifaru amkumbuki hasara mliyopata kufanya matumizi ya siyo kua yalazima
Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Unafikiri mbowe ana shida na vijisenti vidogovidogo.Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Hatari sana ...kafa na tai yake shingoniWote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
Du, kwa hiyo zile pesa zilikuwa zimetolewa na CCM. Kwa akili hizi namuunga mkono Rais kuchukua watu Rwanda.Kwell ccm akili kisoda nguvu kifaru amkumbuki hasara mliyopata kufanya matumizi ya siyo kua yalazima
Mkuu, wakisema Lowassa ni fisadi kubali tu. Kesho wakisema hamna ushahidi kuwa ni fisadi kubali tu. Ndiyo CDM hao!Hiki chama ni Ubatili mtupu, hivi huyu Mbowe alishaona wanachama wake ni hamnazo kiasi hiki? Kulikuwa na namna nyingi za kufanya kuhusu hii operesheni, na si kutoka kwenye kadamnasi kuwa mmeahirisha ilihali jana tu mnawahakikishia raia kuwa ukuta uko pale pale. Duh Chadema tuamini kipi kutoka kwenu????
Halaf utakuwa Muhaya wewe!Kwahiyo inonyesha ccm mnavyojua kujikinga na mahovu yetu.. tukitane october 1
Hivi unajua unamaanisha kuwa serikali imemhonga Mbowe Bilicannas ili asiitishe ukuta?Wote si tunakumbuka Mheshimiwa anadaiwa na NHC, basi ilibidi achague kati ya Ukuta au Bilcana,simshangai sana maana hata mimi ningechagua Billz ,maana siku ya mwisho inabidi watoto wapate chakula.
Hizi ni habari za uhakika kabisa kutoka innercircle ya FM.
Nadhani ni wakati muafaka kwa mwenyekiti kuachia kiti kwa manufaa mapana ya chama.
nyie ndiyo mnaigiza na madege ya jeshi na mapolisi nchi nzima.
Serikali ya safari hii haibembelezi. Lazima anyang'anyanywe
Kwell ccm akili kisoda nguvu kifaru amkumbuki hasara mliyopata kufanya matumizi ya siyo kua yalazima
sijaribiwi......UKUTA .............October Mosi..........
Si ndio wewe uliyekuwa unasema kuwa UKUTA ni uvunjifu wa Amani, leo unawalaumu tena CHADEMA kwa kuuhairisha?Kweli CHADEMA ni magwiji wa maigizo wamenichosha kabsa sina hamu nao tena.
ila unamizukasijaribiwi......