Tetesi: Nipe nikupe, chagua kuendelea na UKUTA au ubaki na Bilicanas

Serikali ya safari hii haibembelezi. Lazima anyang'anyanywe

Bilicanas atanyang'anywa tu na UKUTA hakuna...sasa subirini kuona namna baadhi ya viongozi wa CHADEMA wanavyorejea CCM mmoja baada ya mwingine...
 

Kasage Sumu , wote mmekula aibu , mlijipanga kujikomba September Mosi na mlitegemea posho mbalimbali haya hakuna maandamano fanyeni Kazi sasa , maana wengine mmepata vyeo Kisa CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…