Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

Nipe sababu tatu unapenda kuishi ukanda gani mwa Tanzania?

Mkuu me sikai nachingwea naishi lindi huko naenda kikazi tu pamoja na ruangwa,masasi.kilwa,liwale,tandahimba,mtwara,masasi,tunduru n.k huko kote ni site tu makazi ni lindi ndo naielewa vzr sasa lindi mjini huku hapakufai watoto wa lindi A wameharibika sana kitabia bora pc za shamba so kuna vijiji vya karibu takupeleka kuna mabaki ya waarabu mtoto mkali halafu anatoka nyumba ya tope
Mzee wa fisi kwema?tukutane hapo paris
 
Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini umeninogea sana ni AMANI,UOTO WA ASILI NA VIBE.

1.Aman;Watu wa huku ni wastaarabu sana sio rahisi kukuta wakigombana hakuna migogoro wala kesi kubwakubwa ukitoa tukio la jamaa wa madini kuuwawa sijawahi kusikia lingine matusi wanatukanana ila yanaisha juu kwa juu ni kama sehemu yao ya utani .huku hata ukiwa na tabia za seleman kushika wake za watu kwenye pombe hupigwi unaangaliwa tu hakuna wivu wa kimapenzi maana kuachana ni suala la dakika tu.

2.UOTO WA ASILI;kuanzia kipande cha kilwa kivinje ,mpara na masoko hali ya hewa ni nzuri pale kisiwani waarabu walishakula bata long time ago njoo mpaka mchinga na kijiweni kuna beach nzuri na mabaki ya watoto wa kiarabu njoo mpaka kwenye mashamba makubwa sana ya minazi ng’apa ni kuzuri lindi yenyewe iko shimoni sawa na 0 usawa wa bahari pamoja na mabonde ya Rutamba Milola na rondo plateu miliman kama uko ulata elevation ni 500 m toka USawa wa bahari.milima ya rondo inamwaga maji kuja nyangao mto lukuledi pamoja na Makonde plateau huko newala ubaridi kama ulaya chini kidogo utakutana na ndanda ukienda Tunduru Mbinga songea ndo pazuri ajabu mto ruvuma unafanya pawe na ubichi huku wamatengo na wangoni wakichapa kazi kwa ukarimu.sijakupitisha selous na kwenye corridor za tembo kwa kweli kusini haijaharibiwa mazingira yake.

3.VIBE;mangoma unayoyasikia anayapiga mr miso misondo huku nimeanza kuyaenjoy miaka mitatu nyuma huku mtwara na lindi kuna unyago shughuli ambazo zinaanza na kigodoro kinakesha kisha kesho yake unyago unachezwa watu wanaonyesha utaira kama wazee wa makoti .kunakuwa na chama kinakuja kukushika mkono. Aisee wakilewa fujo lake balaa mixer kujimwagia mavumbi ila uzuri hakuna ugomvi hata kidogo ndo maana lile vibe la mr misondo sisi huku tunaona kawaida sana hata hizo ngoma anazopiga ndo zinazorudiwa huku zilezile.

Changamoto kubwa ni upatikanaji wa vyakula jamii ya nyama za kuchoma tushazoea minadani nyama zinachomwa huku hakuna na pia maokoto sio sana maana viwanda vichache atleast vingejengwa kama vya dangote hata vitano aisee huku pangekuwa best place kuishi .
Nimezaliwa na kukulia ukanda wa Pwani nimesoma Dodoma, Iringa na Mtwara yaani O Level, Chuo na Advance, kwa Mtwara shule ni hapo Ndanda ulipopasema. Vijiji vya Mwena, Mkalapa n.k Vibe la Dar tangu nikiwa mtoto. Nimeishi nikifanya kazi Mwanza mjini. Nimefika Geita, Musoma, Mara mpaka Sirari, Kahama, Simiyu hasa Bariadi bila kusahau kisiwani Nansio, Ukerewe kupitia Bunda.
Nimefika Singida, Tabora, Mbeya, Nachingwea, Masasi, Kilwa zote, Lindi, Nanyumbu, Newala, Tandahimba na kijiji kimoja kinaitwa Kitaya Mtwara Vijijini.
Dar es Salaam yote nimeivuruga. Professionally nimekuwa sales manager hapa Dar so najua chocho nyingi hadi nje ya mji kama Zingiziwa huko. Nishafika hadi Pemba Mnazi Kigamboni. Kiufupi hakuna sehemu siijui hapa DSM.......kuna barabara 1 tu sijawahi kupita. Kutoka Madale kupitia Mbopo kwenda Mabwepande.

Nimefika Tanga, Kilimanjaro, Arusha hadi Babati na Kondoa, Mbulu hadi Karatu.
Sehemu ambazo sijawahi kufika kabisa ni mkoa wote wa Songwe, Rukwa na Katavi, Kigoma na Kagera, Pemba na Songea mjini. Tunduru nilifika.

Tofauti na huku ukanda wa Pwani, nipeleke tu Mwanza kaniache, kanda ya ziwa Yaani Geita, Kahama, Mwanza comes first of all.
Reasons:
1. The people......The Sukuma are friendly, above all the city has a mixture of people of diff tribes making it a small Dar. The Haya, the Ha, Chagga, Kurya and the local Sukuma make the most business people in the city without forgetting Hindus and Arabs.

2. The economy......Mwanza is more or less like Dar in almost everything.
3. The weather....moderate temps just like Dar

I love Mwanza.
 
Mkuu

inbox inagoma kufunguka kupitia browser na sina app..ni rahisi sana huku kikubwa ukitoa kishika uchumba na hela ya barua mfano 50000 au laki unaachiwa mwanamke.kumpata ili umuone kama mzuri uongee nAye ni kwenye mashughuli ya unyago pale wwnakuwepo wasichana wengi sana hivyo utamchagua ambaye ana aibu sio wale walevi wakucheza ovyo ila kwa ushauri katika makabila matatu ambayo ni wamawia wamakonde na wamwera nakushauri wamawia na wamakua ambao wanapatikana masasi na tunduru kdg wana nidhamu sana na ndoa tofauti na wamwera na pia wana akili karibu lindi tutembee maeneo mbalimbali watoto wa huku wapole kuhusu mapenzi usiwaze kbs viuno ndo kama vyote na wengi ni wa kienyeji

Wanawake wa kimwera pasua kichwa sana…Utasikia m huyu kaka “nimemghaili”…..Na wanapenda sana mgawane mali
 
Mkuu maswali gani hayo kila Veta haikosi vimwali
Kaka nakata tiketi kesho. Naondoka Mtwara jumapili asubuhi nalala mtwara jumapili jumatatu naripoti nakuweka logistics zangu then nikiwa narudi Dar nitakaa Lindi kama siku 3 then narudi Dar halafu mwezi wa pili ndo narudi Mtwara rasmi. Nitakuwa nakuja sana Lindi. Pia nitatembelea kote Nachingwea Masasi Newala Ruangwa Liwale Runduru etc labda kasoro Kilwa tu
 
Ee bwana ee mie roho ilitua Tanga, kamji flani hivi kako kwenye strategic position, nikitaka kuja dar kwenye michongo ni chap nikitaka kwenda arusha ni chap, hali ya hewa si joto si baridi, watoto wazuri wamejaa, maisha ni cheap sana sababu ya vyakula vingi, mzunguko wa pesa ndio unachipukia so kwa mm nnae anza maisha ni rahisi kuweka network zangu vzr for my future, sehemu za starehe, beaches, cinema, ni kama dar tu, ma don wapo, bandari ipo, viwanda na ajira kibao, plots cheap, vifaa vya ujenzi cheap, mji umepangika hau boi, hakuna foleni mjini, barabara moja ikijaa chap una shift kwenda nyingine maisha yanasonga.... anyway labda kama kuna wa kuongezea
 
Nyanda za juu kusini hususani Ukanda wa Ziwa Nyasa wote nachopenda kuona ni wanawake wakioga ziwani wakiwa watupu kabisa aisee ni raha mstarehe vuta picha mchana wa saa sita jua kali binti anaogolea akiwa mtupu au na chupi tu.

Kama kwenu hakuna ziwa wala mto huwezi kuelewa

Factors nyingine ni kula samaki fresh kutoka ziwani na ugali wa muhogo, hali ya hewa na utulivu.
Ko uko hapo mbamba bay unafaidi kutazama miili ya mabinti wa watu?
 
Mkuu me sikai nachingwea naishi lindi huko naenda kikazi tu pamoja na ruangwa,masasi.kilwa,liwale,tandahimba,mtwara,masasi,tunduru n.k huko kote ni site tu makazi ni lindi ndo naielewa vzr sasa lindi mjini huku hapakufai watoto wa lindi A wameharibika sana kitabia bora pc za shamba so kuna vijiji vya karibu takupeleka kuna mabaki ya waarabu mtoto mkali halafu anatoka nyumba ya tope
Kijiji gani lindi kuna mabaki ya waarabu?
Ukiacha hapo town?
Sijajua kilwa pia!..
Wasalimie lindi hasa watu wa kitunda.
 
Mimi Tanga 😅😅😅kwanza maendeleo yanakuja kwa kasi ,fursa nyingi sana ...Watu wanajielewa maisha rahisi kila unachojua Tanga kipo ....Nyongeza kuna soda za huku zinaitwa Healtho kama juisi ,kuna Tangastone kwa kupambania nyumba zinabamba sana ...Cement bei ya kawaida .
 
Sumbawanga hasa pembezoni kama Tamasenga,Kihanda,Mpui,Miangalua, na Laela.
Laela ipo pembezoni kwani!! Si road kabisa ama!!
Sumbawanga yote poa tu sema baridi baadhi ya sehem ndo mtihani..
Ila kalambo nkasi fresh tu..mpaka ulumi kule.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu yan Dom, Iringa na mbeya imechangamka? Au umekosea kuandika?
Dom iringa bado hazijachangamka.
Iringa pazuri kwa uoto asilia.
Dodoma tatizo la ukame ni mtihani sanaa
Ila mbeleni nadhani patakujachangamka vibaya mno maana mabadiliko yanaongezeka mno.
 
Back
Top Bottom