1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hatar, ardhi iko rutuba ya kutoshaSema kakiamua kumwaga n mwendo wa kuganda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatar, ardhi iko rutuba ya kutoshaSema kakiamua kumwaga n mwendo wa kuganda
Kwa stori hizi huko lindi siyo sehem ya kukaa watu akili zao hazifanyi kazi wana utindio wa ubongoMkuu yaani kiufupi huku hizo kashfa hakunaga yaani toka nije kuna case mbili tu za watu kufungwa kisa kutia mimba maana rafiki yangu ni afisa maendeleo huwa ananipa stori nyingi ya kesi zinaishia nyumbani kwa maana mzazi mwenyewe anakuwa kashamshindwa mwanaye anaona jinsi anavyobadilisha wanaume yaani huku neno kutombwa limebadilishwa wanaitwa kurombwa so unaweza ukaona hata makali ya neno yamepunguzwa ndivyo hata maajabu yake hakuna yaani ni kitu cha kawqida mimi nilijua ningepata kesi lakini wapi utafungwa labda umpe binti ambaye anafaulu sana darasan na wazazi wake wana uwezo ndo maana nakutahadharisha huku mapenzi ni bure kbs so ujue kabsa bikra hutapata wanatolewa la tatu..tena kama Wilaya ya Liwale watoto watoto lwadogo Sana’a huwa wanaachiwa uhuru usiku kwenye vigodoro
Kwanini Iringa na morogoro?Sehemu pekee ya kuishi binadamu ni Iringa na morogoro kwingine tunaforce tu[emoji855][emoji16]
Unawazungumziaje walio mikoani na wana uchumi kuliko waliopo dar?Usipoteze muda, sema unapenda kuishi Dar sehem gani??
Uko kwengine ni kwa watu ambao hawana mikakati yoyote na walio ridhika na maisha.
Kwann kabila la mama?Wee mpumbavu Kweli huko hakn bint amemaliza fom four wote lasaba
Kismsingi oa Kabila la mam ako
Favorable in;-Kwanini Iringa na morogoro?
So other places can't favor those factors?Favorable in;-
Economically
Physically
Social
Biological influence
ExactlySo other places can't favor those factors?
Not true, there are so many places with or better than those you mentioned in all aspects,but it's okay because it's your choiceExactly
Yes according to meNot true, there are so many places with or better than those you mentioned in all aspects,but it's okay because it's your choice
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu yan Dom, Iringa na mbeya imechangamka? Au umekosea kuandika?Dodoma, Iringa na Mbeya hii mikoa naikubali kwa sababu ya kuchangamka na pia hali ya hewa ni rafiki ( baridi la kutosha, sio joto npaka mnashindwa kukaa ndani umeme ukikatika)
Nikiachana na hiyo Kanda ya ziwa is the best kule kuna kila kitu kuanzia misosi bata mpaka pisi
Napofanya kazi Luwasa hapohapoHahaha Mimi nimetokea kaskazini na nimesoma advance Lindi sec.
Aise matusi ni kitu cha kawaida 'baba wewe'. Halafu kubambiana kwenye disco vumbi ndo hatari, mitoto haitaki shule kabisa ila mziki wanaupenda usipime.
Kwenye harusi bi harusi anapigiwa nyimbo za kusutwa mpaka aibu!
Tembea mkuu uoneSehemu pekee ya kuishi binadamu ni Iringa na morogoro kwingine tunaforce tu🤒😁
Siwakumbuki hao maana ni miaka mingi imepita ila nilipapenda Kwa mihogo mizuri na ile beach safi. Ni huko pia nilipojifunza kula pweza. Maji ya kunywa yanatoka ndanda km huna hela maji ya chumvi yanakuhusu au siku hizi maji hayana chumvi?Napofanya kazi Luwasa hapohapo
Mandaz ya mama moyo kila siku na mlinzi wa shule lyatuu wa kuzingua ni rafiki yangu mageto mtanda