Nipendekezeeni jina zuri kwa mtoto wangu wa kiume

Nipendekezeeni jina zuri kwa mtoto wangu wa kiume

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakuu salama hapa

Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo

Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba

Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
 
Kama niwa ukanda wa kusini napendekeza haya

1. Mwakitwange
2. Yalileni
3. Mwakifuna
4. Lipungo
5. Tuntufye
6. Kibweja
7. Asumwisye
8. Balinasyo
 
Cruz
Sergio
Seth
Clark
Kim
Santino
Boston
Neil
Houston
Carl
 
Back
Top Bottom