I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Bulldozer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafanya maandalizi kwa mtoto.Mtoto kazaliwa hana hata siku 1 ushamuita kijana daah wababa wa ivo mnaboaga.
Atete ligasi ya mwendazake.John Magufuli
Legasi inatetewa kwa bunduki
[emoji3]Kudemka
Nathaniel jina la mwanangu 🥰Nathaniel, Elia,Elijah,Jeremy,Daniel,Crispin,Jayden,Miguel...chagua hapo mkuu
Rastazeneca bin Sigara KaliWakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba
Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.