Nipendekezeeni jina zuri kwa mtoto wangu wa kiume

Mtoto wako jina tutoe sisi! Ipo siku utasaidiwa majukumu mengine pia
 
Wakuu salama hapa

Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo

Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba

Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
ADAMSON au ALPHA
 
Napendekeza umuite aya
1shida
2siyawezi
3sinamaneno
4masumbuko
5hayaishi
6chausiku
7chauvunguni
 
Wakuu salama hapa

Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo

Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba

Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
Nebuchadnezzar,Belshaza, Dario, Gamalieli, Farao, Alexander,Herode,Benito,Musolini,Galileo, Albert, Einstein,Benhadad.
 
Wakuu salama hapa

Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo

Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba

Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
Muite Jina la Stendi Mpya Mbezi Louis.
 
David, Jian, Hillary, Godbless, Isack, Isaya, John, Samweli, Ezra, Obrey, Leonard, Giliard, Stephen, Joshua, Goodluck, Erick, Victor, Tumaini, Hans, Evance, Ivan, Nathan, Ethan, Juan, Philip, Alexender, Abel, Peter, Amani, Andrew, Davis, Richard, Iyan, Joseph, James, Pascal, Paul, Thomson, Thomas, Cyprian, Rabson, Patrick, Robert, Emmanuel, Fredy, Deogratius, Fidel, majina yako mengi sana sana hapa sidhani kama utakosa jina, hongera sana sana kwa zawadi ya Mtoto.
Asante jina langu umelikumbukaa
 
Back
Top Bottom