EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
ADAMSON au ALPHAWakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba
Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
Nebuchadnezzar,Belshaza, Dario, Gamalieli, Farao, Alexander,Herode,Benito,Musolini,Galileo, Albert, Einstein,Benhadad.Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba
Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
Muite Jina la Stendi Mpya Mbezi Louis.Wakuu salama hapa
Shemeji/wifi yenu kanizalia kijana wa kiume usiku wa kuamkia leo
Hapa nilipo nafikiria jina la kumpa kijana huyu, manake majina ni mengi sana, ila nimeona sio mbaya nikawashirikisha na wanajamii wenzangu wa JamiiForums manake hapa tumekuwa tunapeana mawazo na ushauri mbalimbali wa kujenga na si kubomoa ingawa wapo wachache wanaletaga ushauri au maoni ya kishamba
Basi ndugu zangu nahitaji majina unique na yenye maana nzuri kwa mtoto wa kiume hasa yasiyoegemea dini yoyote ile.
Asante jina langu umelikumbukaaDavid, Jian, Hillary, Godbless, Isack, Isaya, John, Samweli, Ezra, Obrey, Leonard, Giliard, Stephen, Joshua, Goodluck, Erick, Victor, Tumaini, Hans, Evance, Ivan, Nathan, Ethan, Juan, Philip, Alexender, Abel, Peter, Amani, Andrew, Davis, Richard, Iyan, Joseph, James, Pascal, Paul, Thomson, Thomas, Cyprian, Rabson, Patrick, Robert, Emmanuel, Fredy, Deogratius, Fidel, majina yako mengi sana sana hapa sidhani kama utakosa jina, hongera sana sana kwa zawadi ya Mtoto.