Hiyo nyumba ilikuwa na deni tangu enzi ya leading meter, walipowekewa Luku deni halifutwi kila unaponunuwa Luku wanakata kidogo unapewa umeme kidogo.Habari zenu wote humu ndani.
Kuna sehemu ilikuwa na frem mpya kabisa nikaona nichukue chumba, kila chumba kina meter yake, cha ajabu leo hii naaka ninunue luku ya elf 5 inakataa, nikaweka umeme wa elf 10 nimeambuliwa kupewa unit 10 tu za ememe wa elf 3 huku deni likiwa elf 6, buku iliyobaki tozo.
Sasa ninajiuliza ni vipi hili deni, maana sehemu hii ni mpya kabisa.
Aongee na mwenye frem alipe deni lote na maisha yaendeleeHiyo nyumba ilikuwa na deni tangu enzi ya leading meter, walipowekewa Luku deni halifutwi kila unaponunuwa Luku wanakata kidogo unapewa umeme kidogo...
Tatizo amuongei na watu vizuri, million 5 tu ilitosha kulifuta deni lote.Tuliwahi kuwa na deni la 19mil
Tukatumia miaka 2 kulimaluza maana ilibidi umeme wa milioni 2 kila mwezi badala ya Milioni 1.
Duuuh mbona hii hatari sasa.Hiyo nyumba ilikuwa na deni tangu enzi ya leading meter, walipowekewa Luku deni halifutwi kila unaponunuwa Luku wanakata kidogo unapewa umeme kidogo...
Huyo KakuzaTatizo amuongei na watu vizuri, million 5 tu ilitosha kulifuta deni lote.
Hadi tumekubali lipa hivyo kila njia ilitumika hadi wizarani.Tatizo amuongei na watu vizuri, million 5 tu ilitosha kulifuta deni lote.
Labda wana kiwanda.😀😀Huyo Kakuza
Deni sio lao unawezaje lipa 19Ml!?
Kwanza hata hiyo 5Ml Hulipi
Ndio mjifunze, hata ukitaka kununuwa Nyumba nenda wizara ya Ardhi lipia 40,000/= wakufanyie search utamjuwa mmiliki halali na status ya nyumba.Duuuh mbna hii hatariii sasa,
Unataka tena kutapeli watu Kama ulivyotaka kumtapeli yule dogo wa leseni?Tatizo amuongei na watu vizuri, million 5 tu ilitosha kulifuta deni lote.
Mental case.Unataka tena kutapeli watu Kama ulivyotaka kumtapeli yule dogo wa leseni?
Basi wanaonea sanaa, hawa wahusika wawe wazi kwa wapangaji wao.Ndio mjifunze, hata ukitaka kununuwa Nyumba nenda wizara ya Ardhi lipia 40,000/= wakufanyie search utamjuwa mmiliki halali na status ya nyumba.
Ndio vitu tunapaswa kujifunza tuzingatie, kumuuliza maswali mmiliki kabla ya kuingia mkataba ni muhimu.Basi wanaonea sanaa, hawa wahusika wawe wazi kwa wapangaji wao.
Nyie ndiyo wale Vishoka mnaitia hasara Tanesco yetu! CAG taarifa zenu anazo kwa Sasa!!!Tatizo amuongei na watu vizuri, million 5 tu ilitosha kulifuta deni lote.