Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

boseboi

Member
Joined
Jan 22, 2025
Posts
18
Reaction score
64
Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure

Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana

Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje

Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
 
Islamists agenda; kwa sasa mturuki anaona kuwa yeye ndiye ana nafasi ya kurudisha Ottoman Empire na kusimika calphate.
 
Sadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.

Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.

Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
 
Ni sababu ya imani ya dini ya kiislamu, wamehimizwa watu watoe sadaka, mara nyingi nyama hizo hutolewa katika sikukuu ya kuchinja, huko kwao Uturuki wana taasisi, kuna watu wanachanga pia, kusaidia wasiojiweza. Hivyo katika siku hiyo wanachinjwa ng'ombe wengi sana.

Ukiachana na waturuki, hata watu wa kawaida huwa wanachinja, na unaweza kuwagaia jirani zako ambao hawajiwezi ili nao washerehekee vema sikukuu.
 
Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure

Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana

Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje

Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Hizo nyama ni za makafara wanatoa hao waturuki kwa imani zao pale zinapowataka kufanya hivyo. Labda hiyo mizimu yao kwa sasa imetulizia kiu ya damu za wanhama ndiyo maana hawachinji na kugawa nyama za bure
 
Sadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.

Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.

Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nyama za sadaka hizo, zina mingi sasa, kwetu Pwani huku kila Ramadhan wanagawa viroba vya futari.

Nyama mara nyingi huwa siku ya Eid Al Haj.

Ramadhan mwishoni kabisa wanaleta mchele kabisa wa zakat fitr na nyama pia.

Sadaka hizo kijana.
 
Sadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.

Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.

Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
Umeongea point sana ukiwa masikini ukimuona mtu anakula kuku au samaki bila ugari au wali unaona kama anafuja hela kumbe nikawaida sana
 
Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure

Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana

Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje

Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Kwani umelazimishwa kula we mgalatia,acha wale ambao wanauitaji,next time waisrael watakuja kugawa kitimoto kwa free
 
Hizo nyama ni za makafara wanatoa hao waturuki kwa imani zao pale zinapowataka kufanya hivyo. Labda hiyo mizimu yao kwa sasa imetulizia kiu ya damu za wanhama ndiyo maana hawachinji na kugawa nyama za bure
La msingi hujarazimishwa kuchukua.
 
Back
Top Bottom