cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hao hao [emoji23][emoji23][emoji23]Waturuki hawahawa wa yapi merkez au wengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hao [emoji23][emoji23][emoji23]Waturuki hawahawa wa yapi merkez au wengine
🔹Epuka Sana kula nyama za matambikoHapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Ya kwamba nyinyi mna haki ya kusambaza ugaratia wenu ila waislam hawana haki ya kusambaza dini yao na kufanya mambo kwa misingi ya dini yao?Wewe hujui angenda za mashetani hawa. Muda utakujulisha
Biriani siyo chakula cha ijumaa, biliani unaweza kula hata jumatatu.Umeongea point sana ukiwa masikini ukimuona mtu anakula kuku au samaki bila ugari au wali unaona kama anafuja hela kumbe nikawaida sana
Ya kwamba nyinyi mna haki ya kusambaza ugaratia wenu ila waislam hawana haki ya kusambaza dini yao na kufanya mambo kwa misingi ya dini yao?
Hivi nyinyi warokole wa bongo mna matatizo gani hasa na waislam ,mbona mmejaza chuki isiyo mithirika dhidi ya waislam tatizo nini hasa?
Kuna haja kubwa ya serikali kuanza kuyachunguza haya makanisa ya kirokole yanayo chipuka kama uyoga tofauti na hapo watu tutaanza kunyimana mpaka maji ya kunywa kisa dini.
Hata tiGo wanagawa bure bando ili ujiunge na kampuni kimtandao. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Waturuki na Uislamu.Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Mkuu hii wipers ni hospital ama?Sadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.
Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.
Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.Ni sababu ya imani ya dini ya kiislamu, wamehimizwa watu watoe sadaka, mara nyingi nyama hizo hutolewa katika sikukuu ya kuchinja, huko kwao Uturuki wana taasisi, kuna watu wanachanga pia, kusaidia wasiojiweza. Hivyo katika siku hiyo wanachinjwa ng'ombe wengi sana.
Ukiachana na waturuki, hata watu wa kawaida huwa wanachinja, na unaweza kuwagaia jirani zako ambao hawajiwezi ili nao washerehekee vema sikukuu.
Ni hospitali, ila huduma za oparesheni ya mtoto wa jicho kuna wafadhili wanacover bill.Mkuu hii wipers ni hospital ama?
Unauwa Mende Kwa Nyundo?Ya kwamba nyinyi mna haki ya kusambaza ugaratia wenu ila waislam hawana haki ya kusambaza dini yao na kufanya mambo kwa misingi ya dini yao?
Hivi nyinyi warokole wa bongo mna matatizo gani hasa na waislam ,mbona mmejaza chuki isiyo mithirika dhidi ya waislam tatizo nini hasa?
Kuna haja kubwa ya serikali kuanza kuyachunguza haya makanisa ya kirokole yanayo chipuka kama uyoga tofauti na hapo watu tutaanza kunyimana mpaka maji ya kunywa kisa dini.
Hiyo ya kila siku sijawahi kuona,Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Anhaa sawa. Naweza kupata mawasiliano yatafadhali maan nimejaribu kuwatafuta kwa mtandao siwapati. Kuna mtu namfahamu ana hii changamoto aise.Ni hospitali, ila huduma za oparesheni ya mtoto wa jicho kuna wafadhili wanacover bill.
Mkuu; Fuatilia mikoani au katika Wilaya e.g. Mkoa wa Manyara wilaya ya Kiteto.Hiyo ya kila siku sijawahi kuona,
Lakini hata kama ipo kuna ubaya ganj mtu akaamua kusaidia sababu ya uwezo wake unaruhusu.
Kama mtu anagawa sadaka, basi sadaka inapaswa ielekezwe kwa wenye uhitaji, yatima, wasafiri, masikini, na ikiwa kwako kuna wenye shida basi ni vema ukaanza na ukoo wako.
Mkuu nimewapata kumbe wanaitwa WIPAHSNi hospitali, ila huduma za oparesheni ya mtoto wa jicho kuna wafadhili wanacover bill.
Ni sadaka.Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Singida wamejaa teleeHapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure