Islamists agenda; kwa sasa mturuki anaona kuwa yeye ndiye ana nafasi ya kurudisha Ottoman Empire na kusimika calphate.Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
o waturuki wenyewe wamekuambia hivyo?Islamists agenda; kwa sasa mturuki anaona kuwa yeye ndiye ana nafasi ya kurudisha Ottoman Empire na kusimika calphate.
Hizo nyama ni za makafara wanatoa hao waturuki kwa imani zao pale zinapowataka kufanya hivyo. Labda hiyo mizimu yao kwa sasa imetulizia kiu ya damu za wanhama ndiyo maana hawachinji na kugawa nyama za bureHapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Wewe hujui angenda za mashetani hawa. Muda utakujulishaNdiy
o waturuki wenyewe wamekuambia hivyo?
shetani wao upo wapi? Wewe ndiyo basi utakuwa shetani mwenyewe utakufa na kijiba cha roho masikini wa nafsi weweWewe hujui angenda za mashetani hawa. Muda utakujulisha
Unasumbiwa udini mbwa weweWewe hujui angenda za mashetani hawa. Muda utakujulisha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.
Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.
Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
Hapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
Umeongea point sana ukiwa masikini ukimuona mtu anakula kuku au samaki bila ugari au wali unaona kama anafuja hela kumbe nikawaida sanaSadaka, ukiwa na dhiki huwezi kuamini kama kuna binadamu wanagawa nyama bure.
Wipers kibaha ukipima macho kama una mtoto wa jicho unafanyiwa oparesheni bure, wafadhili wanakulipia wao million 3 na miwani unapewa.
Hii huduma ipo mpaka kesho, hakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
Kwani umelazimishwa kula we mgalatia,acha wale ambao wanauitaji,next time waisrael watakuja kugawa kitimoto kwa freeHapo nyuma kulikua na wimbi kubwa la nyama za waturuki wanazogawa Bure
Ingawa saivi zipo ila si kwa wingi km mwaka Jana
Sijui na nyie mmekutana na hzo habari, ktk zunguka yangu vijijini nimekutana nazo sana kia's kwamba baadhi ya mabucha walifunga biashara kwa sababu nyama za Bure zipo nje nje
Ivi Nini dhamira Yao kugawa nyama Bure kias kile
La msingi hujarazimishwa kuchukua.Hizo nyama ni za makafara wanatoa hao waturuki kwa imani zao pale zinapowataka kufanya hivyo. Labda hiyo mizimu yao kwa sasa imetulizia kiu ya damu za wanhama ndiyo maana hawachinji na kugawa nyama za bure