Nipeni majibu kuhusu hawa waturuki

🔹Epuka Sana kula nyama za matambiko
🔹Kiasili watu wa middle east na far east matambiko Yao ni kuchinja wanyama hai na kuwagawia watu ( hasa hasa maskini wale) kwa kufanya hivyo wataendelea kuwa matajiri na wewe uliyekula nyama hiyo utaendelea kuwa maskini fukara wa kutupwa

🔹Hili limetokana na ibada za Miungu wa huko na bahati mbaya Sana linakuwa practiced hata kwenye dini kwa kuwa dini hizo kuu mbili za abahamic zilianzoa sehemu ambazo walikuwa wanafanyaatambiko ya kuchinja

🔹
Wakristu ibada hizo za kuua wanyama walishaachana nayo ila Kuna dini inayoenzi Mila hizo za zamani bado inaziendeleza
 
Wewe hujui angenda za mashetani hawa. Muda utakujulisha
Ya kwamba nyinyi mna haki ya kusambaza ugaratia wenu ila waislam hawana haki ya kusambaza dini yao na kufanya mambo kwa misingi ya dini yao?

Hivi nyinyi warokole wa bongo mna matatizo gani hasa na waislam ,mbona mmejaza chuki isiyo mithirika dhidi ya waislam tatizo nini hasa?
Kuna haja kubwa ya serikali kuanza kuyachunguza haya makanisa ya kirokole yanayo chipuka kama uyoga tofauti na hapo watu tutaanza kunyimana mpaka maji ya kunywa kisa dini.
 

View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1893619149714198921
 
Hata tiGo wanagawa bure bando ili ujiunge na kampuni kimtandao. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Waturuki na Uislamu.
 
Mkuu hii wipers ni hospital ama?
 
Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
 
Unauwa Mende Kwa Nyundo?
Ndani Ya Quran Allah Alishatutonya Kuhusu Makafiri Kuwa Na Chuki Dhidi Yetu Waislam.Tena Hii Unayoiona Ni Ndogo Kuliko Waliyoyaficha Nafsini Mwao.
 
Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Hiyo ya kila siku sijawahi kuona,
Lakini hata kama ipo kuna ubaya ganj mtu akaamua kusaidia sababu ya uwezo wake unaruhusu.

Kama mtu anagawa sadaka, basi sadaka inapaswa ielekezwe kwa wenye uhitaji, yatima, wasafiri, masikini, na ikiwa kwako kuna wenye shida basi ni vema ukaanza na ukoo wako.
 
Mkuu; Fuatilia mikoani au katika Wilaya e.g. Mkoa wa Manyara wilaya ya Kiteto.
 
Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Ni sadaka.

Sadaka ni toleo la hiari linalotolewa kwa ajili ya Allah kwa nia safi ya kusaidia wengine na kujipatia radhi zake.

Sadaka haina wakati maalumu. Wakati ama mahala popote ikiwa wahitaji wapo unaruhusiwa kufanya.
 
Singida wamejaa telee
Ni mwendo wa kuchinja kondoo tuu
Kule muhawa wana zizi la kondoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…