Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Muelekeze hapo akipanda gari ashuke mizani ya zamani kibaha konda yoyote ukimuambia nishushe hospitali ya macho wanajuwa kituo.Mkuu nimewapata kumbe wanaitwa WIPAHS
Ile ni misaada kama misaada mingine. Mfano USAID ilivyokuwa inatoa ARV kama misaada kila siku, basi zipo taasisi ambazo hutoa misaada ya chakula kwa wasio na uwezo. ( halazimishwi mtu kuchukua misaada ule)Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Huku umasaini ndani ndani huku mbuzi na kondoo soon watakuwa kalas!Ile ni misaada kama misaada mingine. Mfano USAID ilivyokuwa inatoa ARV kama misaada kila siku, basi zipo taasisi ambazo hutoa misaada ya chakula kwa wasio na uwezo. ( halazimishwi mtu kuchukua misaada ule)
Hata hivyo wao naona Mara nyingi wanatoa TU hao ng'ombe ila kuchinja, kugawa ni wabongo wenyewe.
Pia wapo wanaogawa chakula,
Sasa hao waturuki si wanawapa waislamu wenzao au wakristo mlilazimishwa mkachukue hizo nyama? Usiwe mpumbavu wewe na umasikini wako huo
Hata kama angekuwa ana toa baada ya dakika 1 ni sawa tu.Sasa mbona inakuwa ni kila siku. Je; kila siku ni sikukuu ya kuchinja? Je, ni kweli kwamba wanaogawiwa nyama kila siku ni wale wasiojiweza tu? Ufafanuzi au Maelezo hayajaridhisha bado.
Navyojua mm ni kwamba Waislam huzingatia sana Utaratibu. Kinachotokea huku ni kwamba kila anayekuja hupewa bila kuangalia kwamba ni muhitaji kweli au ni kati ya wale wanaochukua halafu wanaenda kuuza. Utoaji wa sadaka bila Malengo na Utaratibu kunawlemaza wanaJamii mahalia kwani watabweteka na kuzembea kutafuta Riziki na mali kwani "Wapo wenye navyo" wanagawa bure. Je jambo hilo ni endelevu?Hata kama angekuwa ana toa baada ya dakika 1 ni sawa tu.
Ndani ya uislamu unapo kuwa na mali ujue kuwa wengine wenye haki juu ya hiyo mali yako.
Na ndio maana waasilam huwa wanatoa misaada kwa wahitaji tofauti na nyinyi ambao sadaka mnapelekea wachungaji wakanunue magari na kuishi maisha ya anasa wakati kuna mamilioni ya wahitaji.
Umejenga Kibaha Bibie,Nyama za sadaka hizo, zina mingi sasa, kwetu Pwani huku kila Ramadhan wanagawa viroba vya futari.
Nyama mara nyingi huwa siku ya Eid Al Haj.
Ramadhan mwishoni kabisa wanaleta mchele kabisa wa zakat fitr na nyama pia.
Sadaka hizo kijana.
Sio mchezo kwa hio masikini wote moto unawahusuhakuna maskini ataiona pepo tumejaa roho mbaya tu.
Kumbe hauishi mbali na mimi mrembokwetu Pwani huku kila Ramadhan wanagawa
Asante mkuuMuelekeze hapo akipanda gari ashuke mizani ya zamani kibaha konda yoyote ukimuambia nishushe hospitali ya macho wanajuwa kituo.
Ukishuka bodaboda buku tu, ukifika hapo hospitali registration na vipimo haizidi elfu 20, ukikutwa una cataract mtoto wa jicho unapewa appointment siku ya kuja kulazwa na kufanyiwa surgery bure gharama zinalipiwa na wafadhili, chakula bure na miwani bure na dawa bure.
Daktari Umbaro ni daktari bingwa wa Macho ametokea Ndanda mission kwa Wajerumani kwahiyo wana daktari bingwa wa kuaminika.