Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Kwani huyu Jamaa chai yake kaweka viungo gani?!
 
Gari lako si liko kwa fundi rejeta, ulitegemea aliweke upande gari likiwa kwenye mawe?
Ndio maana uzi umepelekwa garage forum
 
Mkuu naondoka usiku na kaa ukijua usiku hakuna sheria za barabaran
hapo mahali panae km 1140 mkuu,kwa hesabu za masaa 7 inatakiwa utembee masaa mengi ukiwa 220 km/h,ili muda mwingine kidogo ufidie mwendo mdogo wa kwenye kona,geti za askari wa ucku,overtaking nk,huo mwendo sio mchezo mkuu,tena ucku??...na malori kibao yapo road ucku...ranger kweli naukubali,,ni msumari kweli kweli kwenye suala la mbio ila uangalie na usalama wako,,,atleast ungesema unatumia masaa 11 ningekuelewa
 
Nilijua unaongelea mnyama mkali sana BMW hapo ningekubaliana na wewe.

Takataka kama hiyo ford ranger sijui nani si mnyama mkali.
kweli ranger ni habari nyingine ila tatizo ni nyepesi sana barabarani,,ukiyumba kidogo ukiwa 160km/h lzm ikutoe unless Mungu wako akulinde,,,hata hiyo BM pia huwez kutembea kwa masaa hayo 7 japo kuwa BM inabalance nzur na inakamata lami kwelikweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…