Mtukutu wa Nyaigela
JF-Expert Member
- Sep 4, 2018
- 8,013
- 14,263
Bei gani mkuuUnajitesa mbona, afu unarisk life na mimafuta kedekede. Tafuta Indian road master View attachment 1211734
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei gani mkuuUnajitesa mbona, afu unarisk life na mimafuta kedekede. Tafuta Indian road master View attachment 1211734
Moderator achen kunionea bhana huu uzi siyo wa magari ila ni uzi wa update ya safari yangu
Cookie mbona umehamisha uzi wangu kutoka jukwaa la hoja mchanganyiko kwanini mnakuwa waonevu sana nyie
kaamua kurinyuu mkatabaMarehemu atazikwa wapi jmn ?
Hizi Ford Ranger ni old model, hafadhali ungesema Ford raptor ndiyo iko kwenye chart, hiyo yako ni ya mwaka 47Beira boy nitafika dar saa sita usiku na nitaondoka mwanza saa kumi na mbili jionView attachment 1211235
hapo mahali panae km 1140 mkuu,kwa hesabu za masaa 7 inatakiwa utembee masaa mengi ukiwa 220 km/h,ili muda mwingine kidogo ufidie mwendo mdogo wa kwenye kona,geti za askari wa ucku,overtaking nk,huo mwendo sio mchezo mkuu,tena ucku??...na malori kibao yapo road ucku...ranger kweli naukubali,,ni msumari kweli kweli kwenye suala la mbio ila uangalie na usalama wako,,,atleast ungesema unatumia masaa 11 ningekuelewaMkuu naondoka usiku na kaa ukijua usiku hakuna sheria za barabaran
kweli ranger ni habari nyingine ila tatizo ni nyepesi sana barabarani,,ukiyumba kidogo ukiwa 160km/h lzm ikutoe unless Mungu wako akulinde,,,hata hiyo BM pia huwez kutembea kwa masaa hayo 7 japo kuwa BM inabalance nzur na inakamata lami kwelikweliNilijua unaongelea mnyama mkali sana BMW hapo ningekubaliana na wewe.
Takataka kama hiyo ford ranger sijui nani si mnyama mkali.
jioni ipi unaanza?...ijumaa au alhamisBado sijaianza safari mkuu naianza jion nitawashituen nikianza kuchomoka
Nisubiri hapo Mwanza nipo na hii machine natoka nayo Serengeti nitapita hapo mida hiyo kuelekea Dar es Salaam. View attachment 1211449View attachment 1211450
hilo dungu haliiwez ranger hata kwa dawa,,ranger ni habar nyingine mkuu,hilo dungu hata liwe na 1HDT turbo bado hakuna kitu kwa ranger,,labda km lina engine ya V8 hapo sawa