Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Hakuna feedback mpk sasa kashajifia huko porinihapo mahali panae km 1140 mkuu,kwa hesabu za masaa 7 inatakiwa utembee masaa mengi ukiwa 220 km/h,ili muda mwingine kidogo ufidie mwendo mdogo wa kwenye kona,geti za askari wa ucku,overtaking nk,huo mwendo sio mchezo mkuu,tena ucku??...na malori kibao yapo road ucku...ranger kweli naukubali,,ni msumari kweli kweli kwenye suala la mbio ila uangalie na usalama wako,,,atleast ungesema unatumia masaa 11 ningekuelewa
BangeKwani huyu Jamaa chai yake kaweka viungo gani?!
LabdaNdoto za alinacha dar to mwanza kwa mda huo..yani hiyo ni mwanza to dodoma tu lazma utumie masaa 7..bado dom to dar
nimepita na nini?Mkuu umepita hapa bahi check point nimekuona
Labda
nimepita na nini?
Uzoefu wa barabara ndio unao mata hapa mkuu me nisha ingia Dar es Salaam tangu saa saba usiku vp yeye yuko wapi?