Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Kanyaga wese mkuu. Mara ya mwisho kuja Mwanza niliondoka Dar asubuhi nikalala Arusha. Asubuhi nikakatiza mbugani na majira ya Adhuhuri nikaingia Mwanza.

Safari ilikuwa nzuri sana..
 
hapo mahali panae km 1140 mkuu,kwa hesabu za masaa 7 inatakiwa utembee masaa mengi ukiwa 220 km/h,ili muda mwingine kidogo ufidie mwendo mdogo wa kwenye kona,geti za askari wa ucku,overtaking nk,huo mwendo sio mchezo mkuu,tena ucku??...na malori kibao yapo road ucku...ranger kweli naukubali,,ni msumari kweli kweli kwenye suala la mbio ila uangalie na usalama wako,,,atleast ungesema unatumia masaa 11 ningekuelewa
Hakuna feedback mpk sasa kashajifia huko porini
 
Uzoefu wa barabara ndio unao mata hapa mkuu me nisha ingia Dar es Salaam tangu saa saba usiku vp yeye yuko wapi?
 
Jana nilikwambia njoo Tivoli hapa Beira Boy muzeye ya igoma tukupe baraka na wese lita100 sie Wana timu Ford tukupe mbinu za kutumia cruzi ona Sasa mafuta yamekata Moro unaanza kulia Lia unatuangusha
 
saa nne kamili Dodoma saa sita Morogoro so umetembea masaa mawili mbona kama kunaukakasi 😵
 
Back
Top Bottom