Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Nipeni masaa saba tu niko ndani ya mnyama Ford Ranger (Mwanza - Dar)

Let us assume your approximations and math are correct.

1100km / 135kmph = 8.5hrs

Atahitaji masaa 8 na nusu.

Claim yake ni masaa 7. Unaweza kweli ukaadjust mahesabu yako ukaondoa lisaa lizima na dakika 30 hapo?
Hata mimi nilikurupuka kusema anaweza kimakosa...
Hapo kwa 7hrs si rahisi.
Hata kama angekuwa na Range Rover Sport...
 
Mkuu wangu samahan sikujibu comment zako sababu ya muda alafu nilikuwa naendesha nisamehe sana

Japo hata hivyo sikufika dar ilibidi nilale moro
Sawa mkuu ila mimi nilitoboa na leo saa kumi na mbili nageuza.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford

Ebhana ee

Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla

Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana

Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON

Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu

Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket

Japo safari nitaianzia home igoma

LONDON BOY

Mpe Mungu naye sehemu yake! Muombe ufike salama, maana ford ranger, speed au chochote ni sehemu ya muhimu, ila Mungu ndiyo kula!

Ukishakaa kwenye ford ranger mwombe Mungu ufike salama!
 
Acha usanii!Igoma hatuna hiyo gari na haijawai onekana nyumba yeyote.Nipo Ndama hapa!
Siku moja nimo kwenye daladala ile tunakaribia maeneo hayo dereve akamwambia kondakta wake,"Uliza kama ndama wamo?" Kondakta akauliza,:Ndama mpo?" Abiria walikasirika sana
 
Jamaa kasema ana ford, tupige mahesabu!!
Akitoka Mwanza hadi Shy town ni mwendo wa 100km/hr, average kwasababu barabara hiyo sio nzuri sana!!
Ukitoka Shy town hadi Tinde hakuna kona kali sana na tuta kali hapo ni moja tu liko eneo linaitwa Nyeregeni, unaingia, Samuye Usanda, Tinde hapo average speed ni 150km/hr...road iko vizuri...

Ukitoka Tinde hadi Nzega pia road iko vizuri, hakuna kona kali wala matuta mazito speed unapunguza kidogo kwenye matuta ya mto Manonga.
So Tinde To Nzega hapo average speed ni 140km/hr at kuna vimji vidogo huwezi pita kwa kasi hasa pale Nata...

Ukitoka Nzega to Igunga kama uko vizuri barabarani na Ford unayotumia iko vizuri average speed ni 160km/hr.

Igunga to Shelui kuna eneo moja tu korofi pale kwenye mpaka wa mkoa wa Tabora na Singida so hapo average inaweza kuwa tena zaidi ya 160km/hr.

Shelui hadi kufika mteremko wa Senkenke kupandishia Misigiri ni almost 80km/hr.
Upite kwenye berrier ya Misigiri.
Baada ya Hapo ni Goti hadi Singida town, barabara ni myoko sana, isipokuwa kwenye ile kona ya barabara inayoelekea Kiomboi... Makadirio ya Misigiri to Singida town average speed ni 150km/hr...

Singida to Manyoni pana mnyooko poa sana, achilia vimatuta vichache vichache kama vile pale Puma na visehemu sehemu... Average speed hapa nampa tena 150km/hr.

Changamoto kidogo ni Manyoni to Bahi hiyo Saranda ndogo ukishuka kiboya inaweza kula kwako... Average speed 100km/hr.

Bahi to Dodoma town pazuriii hapo hata unatembea kwa wastani wa 150km/hr.
Dodoma hadi Gairo 130km/hr.
Gairo to Moro 120km/hr...
Moro to Chalinze 130 hadi 140km/hr...

Chalinze to Dar almost average speed ni 110 hadi 120km/hr...

Wastani wa jumla hapo ni karibia 135km/hr kwa muda wote...
Umbali wa Mwanza to Dar ni Karibia Km 1100 hivi...
So ukiwa na gari nzuri na mzoefu wa Barabara Mwanza to Dar kwa masaa 8 unatoboa kabisa...
Juzi Nimetoka Dar-Kurasini saa 1 kamili jioni,
Nimefika Mwanza-Nyakato saa 10 na nusu alfajiri.
Nilikuwa natumia gari aina ya Nissan Xtrail.
 
Aman iwe nanyi wakuu

Leo niko safari froma mwanza to Dar lakin niko na mnyama mkali sana mzee wa kuchanga mbuga ranger ford

Ebhana ee

Nitakuwa nawapa update ya safari na njian kwa ujmla

Safari nitaanza saa kumi na mbili jion kwa sababu naogopa matrafik na fain na jum zisizo na maana

Ukisia ajari ya ford kwa kesho au leo usiku bas jua ni mimi mwana jf mwenzio beira boy from LONDON

Hivyo msiache kutoa IRP zenu ndugu zangu

Nikishatoka usagara tu kuitafuta tinde itakuwa ni habari nyingine nitaondoka usagara misungwi mwanza kwa kitwanga mawe tatu kwa Mwendo wa rocket

Japo safari nitaianzia home igoma

LONDON BOY

Picha tafadhali na umemuazima nani?
 
CHai......jamaa hana hata IST........mnasumbuka bure...ndiyo maana hawezi hata kutupia picha halisi humu.....ni kawaida mtu akiwa na stress kuongelea ndoto zake ile apate unafuu
 
Mpe Mungu naye sehemu yake! Muombe ufike salama, maana ford ranger, speed au chochote ni sehemu ya muhimu, ila Mungu ndiyo kula!

Ukishakaa kwenye ford ranger mwombe Mungu ufike salama!
Hana hiyo gari .....mnajaza seva za JF tu
 
Umeshakunywa chai?

Back
Top Bottom