Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

Lamuhanga limekuganda na utapuyanga sana,hakuna madem ving`ang'anizi kama wenye asili ya kisomali.....

Ushauri:mwambie kwamba wewe ni punga(shoga)..atakuacha yeye mwenyewe

Kwanin vinganganizi?
 
Maelezo yako yana mashaka inawezekanaje una mke halafu hawara aje kukutembelea nyumbani kwako ili akufumanie na nani wakati anajua fika hapo ni kwako na mkeo.
 
Kwanini umdanganye,wewe mwite na mwambie sababu za kweli ambazo umezishindwa,uongo hauna faida
 
Huyo ndo zake. Na ndoa yake ana pisi kama 10 za kuchangamsha damu
Mh. Maisha ya ajabu sana, unakuwa huna hata amani, kila saa unawaza utafumaniwa, unakuwa unaishi kama digidigi.
 
Mwambie humtaki tu,akigoma mchoreshe mbele ya goma lingine ashuhudie laivu laivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…