Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

Lamuhanga limekuganda na utapuyanga sana,hakuna madem ving`ang'anizi kama wenye asili ya kisomali.....

Ushauri:mwambie kwamba wewe ni punga(shoga)..atakuacha yeye mwenyewe
😂😂😂😂Nmecheka kinoma sa mwamba Equation x unaanzaje kumwambia hili kwamba wewe unageuzwa
Lamuhanga limekuganda na utapuyanga sana,hakuna madem ving`ang'anizi kama wenye asili ya kisomali.....

Ushauri:mwambie kwamba wewe ni punga(shoga)..atakuacha yeye mwenyewe
 
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.

Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.

Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.

Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.

Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k

Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.

Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.

Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.

Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.

Nisaidieni wakuu.​
Mpe namba yangu au nipe yake chap nikuondolee tatizo, shida haujiongezi au umekuta ulimi umeondolewa , kwa wakubwa tu hii code
 
Kama ulivyosema kuwa anakuja kwako bila taarifa kufumania na hajabahatka kukudaka pia kwake wenda ni hvyo hvyo ingawa we huwez mfatlia kias hiko alafu kuhusu suala la kwamba umuombe hela ili mwisho wa sku akukimbie huyo ni mwanamke unaweza kumuomba nae akaomba kwingne na akakupa vzr tu hata bila wasiwasi mdada anaweza kukutengenezea mazingra hadi we mwenyewe ukakaa kwa kutulia la kufanya hapo mpende tu kama ulivyokuwa zaman na endelea kuyafkria yale uliyokuwa ukifkiria siku za mwanza kabla hajapunguza sarakas mfike mnakotaka kufika acha mawazo ya kumkimbia mtoto wa watu

#N.B kuhusu mtego wako huo achana nao hela ukitaka utapewa vzr tu akikuamlia
 
Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba.

Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano.

Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale nilinyoosha mikono juu.

Nikajua kila siku mambo yatakuwa hivyo (sarakasi za kutosha); siku zilivyozidi kusonga mbele zile sarakasi zikawa hazipo tena; akawa anajiweka tu ubavu au kifo cha mende, kazi inakuwa imeisha.

Nilivyomsoma kisaikolojia, ni kweli ananipenda na anajitahidi sana kunipigia pigia simu kila mara kuniuliza nipo wapi, nafanya nini n.k

Changamoto nyingine, anaweza akaja nyumbani muda wowote kwa kunishtukiza, ili aweze kupata fumanizi; nashukuru muumba sijawahi kukamatika.

Sasa, mimi nataka niachane naye; nataka nitumie mbinu ya kuwa namuomba hela ili aweze kunikimbia.

Sasa wakuu, hiyo itafanikiwa? Na kama haitafanikiwa nipeni mbinu nyingine mbadala.

Kwa sababu nimejaribu kuweka vikwazo vya kiuchumi, naona bado anavumilia tu, simpigii simu lakini bado yeye ananipigia.

Nisaidieni wakuu.​
Weka picha nikupe hela uniachie
 
Back
Top Bottom