Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Msamehe bure tuNasikitika sana siamini kama hizi makitu zinatoka kwako arif.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe bure tuNasikitika sana siamini kama hizi makitu zinatoka kwako arif.
Mi hata kum-quote napata mashaka acha nikuquote wewe kivuruge (jokes) huyu mtakatifu napishana nae abadani.Elimu yako nahisi haijausaidia kitu..of course unahaki ya kuongea haya coz bado uko kwenu!
Nakafahamu ..acha kanengeneke hapaHicho kidogo ndio kwanza kimemaliza UDOM hata maisha ya kitaa hayajamchapa vizuri.
Nawafahamu ..acha kanengeneke hapaHicho kidogo ndio kwanza kimemaliza UDOM hata maisha ya kitaa hayajamchapa vizuri.
Mkuu tuikubali demokrasia kuanzia kwa mtu mmoja mmoja. Hii ndiyo demokrasia na political tolerance yake.Nasikitika sana siamini kama hizi makitu zinatoka kwako arif.
😀😀😀Honestly Mimi siipend ccm...wananikera kwa mambo mob Wananifahamu..washenzi Hawa wachambia upupu..fakeni zaoMi hata kum-quote napata mashaka acha nikuquote wewe kivuruge (jokes) huyu mtakatifu napishana nae abadani.
Hakuna maajabu yoyote jiwe anaweza kufanya zaidi ya kupoteza watu katika mazingira ya kutatanisha.Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi.
Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo ni haki yao kisheria. Gharama za maisha zikapanda lakini kipato cha watumishi kikabaki kilekile. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia wahitimu wa kada muhimu kama udaktari na ualimu wakisota mtaani bila ajira lakini hospitali hazina madaktari na shule hazina waalimu. MAAJABU.
Tukashuhudia watu wa Kimara wakivunjiwa nyumba bila kulipwa fidia kwa kutumia sheria ya kikoloni ya mwaka 1932. Wakaenda mahakamani, na mahakama ikaweka zuio, lakini amri ya mahakama ikapuzwa na nyumba zikavunjwa. MAAJABU.
Tukashuhudia bunge likifanyiwa "shooting" kama bongo movie. Hotuba za wabunge zinakua censored kwanza. Walioongea maneno makali wanakatwa, walioipamba serikali wanaenda hewani. Bunge likapoteza focus na kuanza kuipongeza serikali wakati kazi ya bunge ni kuisimamia serikali. MAAJABU.
Tukashuhudia RC akivamia studio na mitutu ya bunduki kulazimisha "clip yake ya umbea" irushwe hewani. Chombo husika kikaamua kuzingatia maadili na kukataa kurusha clip hiyo. Waandishi wakavamiwa na kutishwa. Waziri aliyeunda Kamati ya kuchunguza suala hilo akafurushwa. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza mifuko ya hifadhi ya jamii ikafuta fao la kujitoa. Watumishi wa mikataba na wa muda mfupi wakaambiwa hadi miaka 60. Mtu mwenye akiba ya 5M na kwa sasa ana maika 25 unamwambia hadi afikishe miaka 60? Yani miaka 35 ijayo? Akifikisha miaka 60 hiyo 5M si itakua ya kununulia mkate tu? MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia Hakimu aliyekua kwenye likizo ya kustaafu akiteuliwa kuwa Jaji wa mahakama kuu. MAAJABU.
Kwa mara ya kwanza tukashuhudia mbunge akipigwa risasi kwenye makazi yenye CCTV camera. Lissu akasema camera ziliondolewa baada ya tukio. Hakuna mshukiwa hata mmoja aliyekamatwa hadi sasa. MAAJABU.
Tukashuhudia mikutano ya siasa ikipigwa marufuku kinyume na katiba na sheria za nchi. Viongozi wa upinzani walipofanya vikao vya ndani walikamatwa lakini CCM walifanya mikutano ya hadhara na vikao bila bughudha. MAAJABU.
Binafsi naona maajabu yametosha baba. Hatutaki maajabu mengine.!
Malisa GJ
1.Political tolerance, Yes!!Mkuu tuikubali demokrasia kuanzia kwa mtu mmoja mmoja. Hii ndiyo demokrasia na political tolerance yake.
Usinishangae ukinishangaa unaniambia nami nikishangae. Mwisho wake utakuwa sio mzuri.
......Mkuki siku zote kwa nguruwe lakini si kwa binadamu! Halafu unaandika ujinga ujinga wako. Kwa vile waliodhalilishwa hawakuhusu!
Ha ha mi nacheka Sana naposoma comment zao.[emoji3][emoji3][emoji3]Honestly Mimi siipend ccm...wananikera kwa mambo mob Wananifahamu..washenzi Hawa wachambia upupu..fakeni zao
Jana mlisema Dodoma hakuna nyomi, leoKwa nini EU na merekani na inchi zingine za ulaya mabalozii wao hawatoi matamko tena kuwaonya chadema na act wazalendo juu ya kufunya mikutano yenye misururu ya watu kwa kipindi hiki cha mlipuko wa ugonjwa wa korona?
Mbona wako kimya saanaa?
Au nawao wanaamini Tanzania hamna korona kama magufuli ambavyo anaamini??
Nipo Bongo kaka.1.Political tolerance, Yes!!
2.Demokrasia hell no!!
Kila la kheri. Btw uko bongo land au kule kwa siku zile?
Ha ha we jamaa utakua umepata teuzi bongo, au ndo uzalendo?Nipo Bongo kaka.
Asante...
Hatutakuja kupata kiongozi Mungu.
Ila wapinzani waache wapnge maana kupinga ndiyo uhai wao. Waendelee tu.
Kipindi cha Mkapa walilalamika Rais dikteta hafai kututawala.
Akaja JK tukamsema huyu kageuza nchu shamba la bibi. Tu/wakatamani kiongozi mwenye mamlaka. Anayeweza kunguruma kidogo.
Akaja JPM...malalamiko hayajaisha. Rais ni mtu sio Mungu. Lazima wawepo wa kuumizwa na wa kufurahishwa na maamuzi anayotoa.
Jamaa anafanya kazi nzuri kwa kiasi kikubwa. Hilo linanisukuma kumuunga mkono.Ha ha we jamaa utakua umepata teuzi bongo, au ndo uzalendo?
Ndiyo maana wagombea wapo wengi mkuu zaidi ya watano.Kama rais ni mtu sio Mungu kwani ni lazima uyo mtu awe Jpm?.Isitoshe kama ni kua raisi tayari kashakua kwahiyo anaweza akapatikana mwingine na nchi ikaenda vile vile.