Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Habarini?

Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup 🔐 leo asubuhi ndio nimetoka police.

Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili.

Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
 
Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game [emoji452] hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup [emoji359] leo asubuhi ndio nimetoka police [emoji601].
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .

[emoji478][emoji478]
 
Pole sana mkuu. Ongea na wazee wa kanisa lako kisha hatua zingine ziendelee.

Kuwa muwazi kama ulivyolileta hapa.
 
Matatizo mengine mnajitakia wenyewe bhana sasa mwaka moja na nusu akupi kitumbua afu bado unamng'ang'ania uyo mkeo ili iweje??
 
Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game [emoji452] hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup [emoji359] leo asubuhi ndio nimetoka police [emoji601].
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Nashukuru Mungu mimi sio mkristo kwasbb huo ujinga siwezi kuuvumilia hata wiki mbili tu.
 
🤓🤓🤓🤓😜😜 mwaka mmoja duuuh..
Wee ni mwanachama hai kumbe
 
Nikwambie ukweli au nikuache. Any way acha nikwambie ukweli. Hiyo ndoa imesha vunjika, mkeo anakutafutia sababu tu. Mkeo hakupendi na atakuwa na mwanaume. Wewe unafikiri ukioa au ukiwa na mwanamke mwingine yeye ataumia, eti utampandisha cheo..yaani umpandishe cheo mtu ambaye ameshakuacha?

Ushauri wangu. Vunjo ndoa kwanza kabla ya kufikiria kuoa. Ndoa zinavunjwa mahakamani siyo kanisani
 
Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup 🔐 leo asubuhi ndio nimetoka police 🚔.
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?

Ukishafikiri tu kuoa mke wa 2 wewe sio Mkristo, then oa tu.
 
Nikwambie ukweli au nikuache. Any way acha nikwambie ukweli. Hiyo ndoa imesha vunjika, mkeo anakutafutia sababu tu. Mkeo hakupendi na atakuwa na mwanaume. Wewe unafikiri ukioa au ukiwa na mwanamke mwingine yeye ataumia, eti utampandisha cheo..yaani umpandishe cheo mtu ambaye ameshakuacha?

Ushauri wangu. Vunjo ndoa kwanza kabla ya kufikiria kuoa. Ndoa zinavunjwa mahakamani siyo kanisani
Ndio hivyo ndoa navunja kwa kuoa mke wa pili
 
Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup 🔐 leo asubuhi ndio nimetoka police 🚔.
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Kwa jambo lako la pili hata usiumize kichwa, oa mke wa pili fatser
 
Back
Top Bottom