Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup 🔐 leo asubuhi ndio nimetoka police 🚔.
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Acha wenge,Huhitaji ndoa ya msikitini waka kanisani.Unahitaji hela ya kutunza mke tu
 
Bora wewe, huo ni uzaifu, lakini kurasimisha mpaka ndoa, pagumu hapo...

Ndo maana watu hawazai zai na mwanamke zaidi ya mmoja, haifai kabisa
Ukioa MKE wa pili kisa wa Kwanza kakumyima unyumba Ni udhaifu Sana na kumtangazia ushindi bi.mkubwa

Dawa Ni kumpeleka mwananyamala wanakouza akajionee hicho anacholingia yeye kua kinauzwa Bei rahisi sn.
 
We ni mfuska mamaae wewe

Achana na mke wa kwanza oa mwingine.

Mkristo gani wewe unaetaka kusaidia kuoa mke wa pili

Manina wewe, hamjui madhara ya wake wengi baadae katika harakati za familia mbili
Mbona jazba Mzee kwani unaolewa wewe?
 
Huna mke mkuu punguza chai. Mtu akishakuweka selo kwa kosa la hivyo ndoa inaishia hapo hapo msije kuuana
 
Wasiooa wanatuona tuliooa tunapewa kila siku[emoji23][emoji23][emoji2956]
 
Kuoa. Usiombe kibali kwa mtu au taasisi yoyote. Ww Oa. Nenda kwa Mkuu wa Wilaya funga ndoa. Mwambie ni mke no 2.
 
dah hatari sana, naheshimu imani za watu, rudi kwa wazee wa kanisa, waulize ni haki kwa kijana shababi kukaa bila unyumba 2yrs , nenda ukweni nenda kwa wazee wako.

Wakikosa majibu, kupitia imani yako mwambie Mungu unamuacha huyo bibie huru na maisha yake, wewe songa mbele.

Binafsi kama hatuna watoto, ningeondoka zangu tu kimya kimya na vitu vyangu muhimu kama ni nyumba nabeba na hati ya nyumba namuacha mwenyewe.
Ukipita mwezi napiga bei nyumba.
 
Dawa ya mwanamke Huwa ni mke mwenzake japo nayo uleta migogoro utalishwa mizizi hadi ukome
 
Kwa sababu ushafika mpaka kwa viongozi wa dini fanya hivi, nenda mahakamani umpe taraka na sababu ya kunyimwa unyumba inatosha mahakama kutoa taraka baada ya hapo unaweza kuoa.

Kwa wakristo ndoa ni mke 1 tu hakuna option ya wake 2 kwenye cheti huwa iko hivo na haiwezi badilika
 
Habarini?

Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game [emoji452] hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup [emoji359] leo asubuhi ndio nimetoka police.

Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili.

Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Muongozo wa Mkristo upo kwenye biblia, sasa wewe ni Mkristo unatafuta muongozo Jamii Forums? [emoji848]
 
Back
Top Bottom