Unajua watu ni wa ajabu sana, kuna watu humu wanachochea idea ya huyu pururu kuongeza mke wa pili.
Lakini watambue nature ya uke wenza kwa miaka ya generation hii, na sio ile ya babu na baba zenu.
Majitu humu hayatambui consquences zitakazo fata baadae.
Sasa mtu unaona hauwezani na huyo mke wako, kwa nini usilete mjadala wa taraka ili muachane kwa amani na muangalie jinsi ya kulea watoto.
Tofauti na hapo unataka tu kumukomoa mke wa kwanza au unaogopa kugawana nae mali.
Na wala usije ukadhani mke wa pili ndio suluhisho, magumu utapitia tu ndugu yangu na huyu new wife.
ACHANA KWANZA NA MKE WA KWANZA, OA WA PILI TOFAUTI NA HAPO UNAENDELEA KUKUZA TATIZO.
NOTE: ACHA UFUSKA.