Nipeni muongozo mimi ni mkristo nataka kuongeza mke wa pili

David Harvey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,894
Reaction score
6,020
Habarini?

Yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game ๐ŸŽฎ hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup ๐Ÿ” leo asubuhi ndio nimetoka police.

Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili.

Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
 
[emoji478][emoji478]
 
Pole sana mkuu. Ongea na wazee wa kanisa lako kisha hatua zingine ziendelee.

Kuwa muwazi kama ulivyolileta hapa.
 
Matatizo mengine mnajitakia wenyewe bhana sasa mwaka moja na nusu akupi kitumbua afu bado unamng'ang'ania uyo mkeo ili iweje??
 
Nashukuru Mungu mimi sio mkristo kwasbb huo ujinga siwezi kuuvumilia hata wiki mbili tu.
 
๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ mwaka mmoja duuuh..
Wee ni mwanachama hai kumbe
 
Nikwambie ukweli au nikuache. Any way acha nikwambie ukweli. Hiyo ndoa imesha vunjika, mkeo anakutafutia sababu tu. Mkeo hakupendi na atakuwa na mwanaume. Wewe unafikiri ukioa au ukiwa na mwanamke mwingine yeye ataumia, eti utampandisha cheo..yaani umpandishe cheo mtu ambaye ameshakuacha?

Ushauri wangu. Vunjo ndoa kwanza kabla ya kufikiria kuoa. Ndoa zinavunjwa mahakamani siyo kanisani
 


Ukishafikiri tu kuoa mke wa 2 wewe sio Mkristo, then oa tu.
 
Ndio hivyo ndoa navunja kwa kuoa mke wa pili
 
Kwa jambo lako la pili hata usiumize kichwa, oa mke wa pili fatser
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ