Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
BADILI DINI, HAMIA INAYORUHUSU MKE ZAIDI YA MMOJA..!!Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game 🎮 hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup 🔐 leo asubuhi ndio nimetoka police 🚔.
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Acha kumtisha wewe ,maisha sio magumu kiasi hicho kuishi na mke asiyetaka tendo ni jinai iliyojificha,hicho kiapo Cha mpk kifo kitakapotutenganisha hakijakizi uhalisia wa kibanadamu
Atafte mchepuko,Ukishafikiri tu kuoa mke wa 2 wewe sio Mkristo, then oa tu.
Kuoa mwanamke mwingine siyo suluhisho lakini unaweza kujutia zaidi, wanawake inatakiwa tuishi nao kwa akiliKesi ya ngedere unampelekea nyani!! Uko kote tumeenda hakuna cha maana zaidi ya kusema vumilianeni.
Aisee jamaa ana Moyo Sanaduuh watu mna uvumilivu. uliwezaje aisee. mwaka na nusu, wewe mbinguni njia ni nyeupe [emoji23] [emoji23] [emoji23]
yaani siku hiyo ya kwanza angerudi kwao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana upwiru wa mwaka na nusu mwelewe asije akakupanda
[emoji3578]
Atafte mchepuko,
Tatizo dogo Sana Hilo[emoji4]
Afike Bei nimwachie mamaJ wangu[emoji4]Hela unazo? Kama unazo tafuta mchepuko muweke standard kuwa unaenda kupumzika huko kwa mkeo nenda kusalimia tu. Mchepuko akishakuzalia weka wazi kika kitu mke akitaka aondoke atajuwa mwenyewe.
Nb. Mkeo ana kiserengeti kinamkunja ndo maana haba time na wewe.
Huu moto nimeisha uwasha ongeza na petrol
Umeona haitoshi umeamua Uniite pururu?Unajua watu ni wa ajabu sana, kuna watu humu wanachochea idea ya huyu pururu kuongeza mke wa pili.
Lakini watambue nature ya uke wenza kwa miaka ya generation hii, na sio ile ya babu na baba zenu.
Majitu humu hayatambui consquences zitakazo fata baadae.
Sasa mtu unaona hauwezani na huyo mke wako, kwa nini usilete mjadala wa taraka ili muachane kwa amani na muangalie jinsi ya kulea watoto.
Tofauti na hapo unataka tu kumukomoa mke wa kwanza au unaogopa kugawana nae mali.
Na wala usije ukadhani mke wa pili ndio suluhisho, magumu utapitia tu ndugu yangu na huyu new wife.
ACHANA KWANZA NA MKE WA KWANZA, OA WA PILI TOFAUTI NA HAPO UNAENDELEA KUKUZA TATIZO.
NOTE: ACHA UFUSKA.
Kutoka 21:10Biblia Habari Njema (BHN)Habarini? yafika mwaka mmoja na nusu sasa sijawahi kushiriki tendo la ndoa na wife nikijaribu kuomba game [emoji452] hataki kuna kipindi niliforce akanipeleka ustawi wa jamii kwamba nimembaka ilo likapita,mgogoro umefika mpaka kwa wazee wa kanisa lakini hakuna solution ,juzi niliforce tena akaenda police kushtaki nimembaka nikawekwa lockup [emoji359] leo asubuhi ndio nimetoka police [emoji601].
Nimepanga nimpandishe cheo nione mke wa pili .
Kwa sisi Christians inawezekana? Kama haiwezekani vipi nikiamua kufunga ndoa ya kiserikali?
Utakua umetafta mwanmke mchafu asiyejitambua, anayelalwa hovyo hovyo.Niliwahi kuwa na mchepuko akanipa gonorrhea ikabidi niwe napiga mgalala
Kuongeza MKE wa pili ukiwa Kwny Mgogoro na MKE mkubwa Ni kuleta janga jingine Kwny familia.Unajua watu ni wa ajabu sana, kuna watu humu wanachochea idea ya huyu pururu kuongeza mke wa pili.
Lakini watambue nature ya uke wenza kwa miaka ya generation hii, na sio ile ya babu na baba zenu.
Majitu humu hayatambui consquences zitakazo fata baadae.
Sasa mtu unaona hauwezani na huyo mke wako, kwa nini usilete mjadala wa taraka ili muachane kwa amani na muangalie jinsi ya kulea watoto.
Tofauti na hapo unataka tu kumukomoa mke wa kwanza au unaogopa kugawana nae mali.
Na wala usije ukadhani mke wa pili ndio suluhisho, magumu utapitia tu ndugu yangu na huyu new wife.
ACHANA KWANZA NA MKE WA KWANZA, OA WA PILI TOFAUTI NA HAPO UNAENDELEA KUKUZA TATIZO.
NOTE: ACHA UFUSKA.
Kutoka 21:10Biblia Habari Njema (BHN)Wasabato wanaruhusiwa kuoa me zaidi ya mmoja?
Kuvunja ndoa kama wana mali ni shidaNikwambie ukweli au nikuache. Any way acha nikwambie ukweli. Hiyo ndoa imesha vunjika, mkeo anakutafutia sababu tu. Mkeo hakupendi na atakuwa na mwanaume. Wewe unafikiri ukioa au ukiwa na mwanamke mwingine yeye ataumia, eti utampandisha cheo..yaani umpandishe cheo mtu ambaye ameshakuacha?
Ushauri wangu. Vunjo ndoa kwanza kabla ya kufikiria kuoa. Ndoa zinavunjwa mahakamani siyo kanisani