SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Unapoteza muda huko.Nimedownload toloka na kujiunga bt task zao pesa kiduchu na znakula bando
Mie nmefanya matest na makazi mengi ila sasa sijatoboa hata dola moja mpaka sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapoteza muda huko.Nimedownload toloka na kujiunga bt task zao pesa kiduchu na znakula bando
Mi niliifuta bora sagapoll... Wenyewe ukifikisha points 5000 unaziredeem kama pesa ambayo ni sawa na tsh46,000Unapoteza muda huko.
Mie nmefanya matest na makazi mengi ila sasa sijatoboa hata dola moja mpaka sasaView attachment 2173312
Unatoaje pesa, mkuu?Mi niliifuta bora sagapoll... Wenyewe ukifikisha points 5000 unaziredeem kama pesa ambayo ni sawa na tsh46,000
Hii ikoje Kwa ufupii MkuuMi niliifuta bora sagapoll... Wenyewe ukifikisha points 5000 unaziredeem kama pesa ambayo ni sawa na tsh46,000
Mpesa or tigo pesaUnatoaje pesa, mkuu?
Download app ya sagapollHii ikoje Kwa ufupii Mkuu
Nimecheki mtandao wao wa kijamii, inaonekana kufikisha points 5000 sio mchezo. Kuna watu wanalalamika wana zaidi ya mwaka hawajafikisha hata points 1000 na kila siku wana survey na kupewa points 5.Mi niliifuta bora sagapoll... Wenyewe ukifikisha points 5000 unaziredeem kama pesa ambayo ni sawa na tsh46,000
Ni kweli sio rahisi lakini inawezekana ukiwa mjanja...Nimecheki mtandao wao wa kijamii, inaonekana kufikisha points 5000 sio mchezo. Kuna watu wanalalamika wana zaidi ya mwaka hawajafikisha hata points 1000 na kila siku wana survey na kupewa points 5.
Unapata points...wanazichukua....shida kweli kweli yanHii toloka kweli,ni toloka kweli
Achaneni na mambo ya survey ni ya kupoteza mudaNimecheki mtandao wao wa kijamii, inaonekana kufikisha points 5000 sio mchezo. Kuna watu wanalalamika wana zaidi ya mwaka hawajafikisha hata points 1000 na kila siku wana survey na kupewa points 5.
NifundisheKwa nini usijifunze scalping mkuu
Itakulipa nakuhakikishia
Hakuna kilicho kigumu ukiamua
Ukiwa na dollar 50 kuingiza dollar 5 kwa siku ni Dakika moja tu
Kwahiyo tufanyeje? Maana unasema tuache halafu hausemi alternative.Achaneni na mambo ya survey ni ya kupoteza muda
Nipe maujanja mkuu.Ni kweli sio rahisi lakini inawezekana ukiwa mjanja...
Hii ni nini boss??Karibu huku[emoji116][emoji116]View attachment 2167597
Binary/Deriv trading mkuuHii ni nini boss??
[emoji848]hebu subiriBinary/Deriv trading mkuu
Hahaha nisubiri nini?[emoji848]hebu subiri