Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Mi niliifuta bora sagapoll... Wenyewe ukifikisha points 5000 unaziredeem kama pesa ambayo ni sawa na tsh46,000
Nimecheki mtandao wao wa kijamii, inaonekana kufikisha points 5000 sio mchezo. Kuna watu wanalalamika wana zaidi ya mwaka hawajafikisha hata points 1000 na kila siku wana survey na kupewa points 5.
 
Ni kweli sio rahisi lakini inawezekana ukiwa mjanja...
 
Nimecheki mtandao wao wa kijamii, inaonekana kufikisha points 5000 sio mchezo. Kuna watu wanalalamika wana zaidi ya mwaka hawajafikisha hata points 1000 na kila siku wana survey na kupewa points 5.
Achaneni na mambo ya survey ni ya kupoteza muda
 
Kwa nini usijifunze scalping mkuu
Itakulipa nakuhakikishia
Hakuna kilicho kigumu ukiamua
Ukiwa na dollar 50 kuingiza dollar 5 kwa siku ni Dakika moja tu
Nifundishe
 
Donnie Charlie has invited you to try SagaPoll. Click here to download the app and both you and your friend will get additional points.
invite.sagapoll.com/QTTJY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…