Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

M
Beginner

enrollapp.com

Legend

We Test.com
Testerwork.com
Usercrowd.com

Nahitaji

Bando La Muda Wote Online
Strong Reliable VPN
Lain Ya Safar Com Kenya
Kuwa Smart Kwenye Kufanya hizo Kazi

Fuatilia hayo Utanikumbuka
Mkuu nina swali ukitumia line za Bongo kama Vodacom (M-Pesa VISA cards) linked na PayPal

Kuna shida?
 
Donnie Charlie has invited you to try SagaPoll. Click here to download the app and both you and your friend will get additional points.
invite.sagapoll.com/QTTJY
Hv ushawahi to pesa huki sagapoll?
 
Hizi site zimekuwa nyingi sana naona hadi Upwork wananiinvite kila siku nafanya kuwapiga block maana ...

hawa naona wanajitahid hata website yao ipo vizuri mm mwenyewe na block invite za platform ambazo sizielewi. binafsi hawa na SME naona wapo vzuri japo hawa commission inazid kidgo na ina support mobile payment mitandao yote vizuri kabisa na faida ni hapo hapo ukicomplete order zao.

siohadi kulipwa kwa kila saa...
 
Basi hawa sawa hata jina lao linajieleza sio unakuta et sijui nini.xyz website ya ajabu unaona kabisa hii fake.
 
Basi hawa sawa hata jina lao linajieleza sio unakuta et sijui nini.xyz website ya ajabu unaona kabisa hii fake.
Sikia mkuu, hizi website zote zina kitu kimoja in common "UTAPELI" its just a matter of time

Mimi binafsi nmejiunga na website moja inajiita "dealno1" nimewekeza kama laki mbili ivi, na yenyewe kazi yake ni kucomplete orders ivyo ivyo kwa hesab zao hela yako inakua double after 23 days

Kwahyo mi nacheza na timing najua kupigwa kupo ila ndo ivyo nmerisk tu kwasabab nawaona bado ni wapya ndo wameanza najua kipigo kitakuja baadae watu wakishakua wengi, ila kwasasa acha nile faida chap af nisepe
 
Ushapata faida mkuu baada ya hizo siku 23?
 
Ushapata faida mkuu baada ya hizo siku 23?
Ndio mkuu, nilianza na laki mbili, siku 23 za mwanza hela ilikua imedouble kwahyo nilitoa laki mbili nkabakiza laki mbili kwenye akaunt

Sahizi nasubr zipite siku 23 zingine nkatoe tena...yan ata ikitokea siku wamezima iyo platform sitokua na hasara
 
Mkuu una hakika umetoa pesa kweli au unataka kupata referral?
Hii kitu imefunguliwa tarehe 18 mwezi huu, yani week moja iliopita...
Yani ina dalili ya kuwa ni scam site kwa 99.9%
 
Mkuu una hakika umetoa pesa kweli au unataka kupata referral?
Hii kitu imefunguliwa tarehe 18 mwezi huu, yani week moja iliopita...
Yani ina dalili ya kuwa ni scam site kwa 99.9%
Najua 100% ni scam na ndo mana sijaweka hela yangu yoyote ila nimetoa $22 baada ya kuitumia siku 3

Alieanzisha hii platform anataka kuvuta watu wengi ili aje awapige vizuri ndo mana ukijiunga tu unapewa $15 sasa ikitokea umeingiwa na tamaa ukaamua kuwekeza ili upate hela nyingi zaidi, apo sasa utakutana na kitu kizito
 
Hahah umechanga karata zako vizuri
 
mishe za online ni kuviziana kama paka na panya hahaha
Mishe za referal na kuwekeza wekeza ndizo zina hatari. Ila ukifanya kazi za ukweli ukweli huko fresh unapiga mkwanja wako bila tatizo
 
Nielekeze unaitumia vp nimeshajisajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…