Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Tengeneza 2300tsh kila siku bila jasho.
Jiunge sasa[emoji1541]


HULIPII CHOCHOTE!
Site pekee ambazo nimeprove unaweza kumake pesa na kuzitoa online ni Deal no1 na SME japo zote zimekaa kitapeli so invest at your own risk! Ni kama kuviziana ila bahati ikiwa upande wako na ukiwa mjanja unaweza kumake pesa nzuri tu za madafu...
 
𝐧𝐠𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐢𝐤𝐨𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐤𝐰𝐚𝐧𝐳𝐚
 
Hivi hamna aliewahi jaribu kufanya na microphoto agencies
 
Naomb maelez jinsi ya kutoa pesa
 
Upwork kumekuwa na kazi nyingi za ku upload app google play store. Unakuta mteja anatoa mpaka $10 per app.

Mteja huyo unakuta ana app zaidi ya 3 sasa kwa hesabu ya kawaida $10 × 3 = $30. Na mteja huyu maswala ya documentation zote anafanya mwenyewe.

Google play console account ni $25, maswali yangu ni Kwa nini mtu atumie pesa nyingi ku upload app kupitia account za wengine na asilipie account yake mwenyewe kusudi awe na full access.

Wengi wa wateja hawa ni Wahindi japo na nchi zingine wapo lakini wahindi ndio wengi.

Wakuu mwaweza kuwa mnajua sababu za wao kutumia account za wengine badala ya za kwako.

Point ya pesa ya kulipia account siihitaji.
 
Tupe mchongo mkuu wanahitaji nn ili mpige nao kazi
 
Hizo app unakuta zinakiuka sheria za google play store
Akaunti zao nyingi unakuta zimepigwa ban, siku ukiweka kwenye akaunti yako pia na wewe yanaweza kukuta ya kuondolewa akaunti
 
Nikitaka kujiunga inahitaji code naipataje msaada tafadhali

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…