Fungua magroup ya kulipisha ya WhatsApp unakotoa movie daily kwa kiasi fulani kwa mwezi.
Mf. Group la K. Dramas, la Action Movies, la Comedy na RomComs, etc.
Nenda fb toa mabandiko kua anaetaka group la movie za.... daily abofye link kujiunga. Unaweza yajaza ndani ya siku mbili au tatu.
Toa andiko humo kwenye post kuwa week ua kwanza /au siku 5 za kwanza ni bure na baada ya hapo utaanza lipisha walau buku kwa mwezi . Wengi wata leave. Wengi watabaki.
So, groups tano, ukibaki hata na watu 35 per group, hio ni 35 x 1,000 x 5 ni laki na 75 kila mwezi.
Ukiigawa kwa siku 28, unakuwa unaingiza approx. 6,200 per day. Hio ni roughly $2 lakini unaipata kwa ki Tz.
Changamoto utakayokutana nayo, ni mishe nzima ya kupost muvi kila siku inachosha, so unaweza zembea zembea ukakuta unapoteza watu.
***Vijana wengi siku hizi wa ovyo, badala ya muvi ukisema unapost zile mambo za wakubwa hata kwa buku mbili kwa mwezi, utawadaka wengi. Ila inachosha pia, na kama una moral code ni ngumu kumantain.