Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Mkuu mimi ndoo naanza picoworkers, naona wewe tayari ushaonja vidolari vya huko. Ni microtask zipi zinalipa sana kwa mimi status yangu "stater". Skrill wanapitisha malipo bank accounts au ni kwenye hizi mpesa. Tips zinazofanya kazi za kuniwezesha kupiga vijihela kwa haraka
 
Weka fursa hapa kwa faida ya wote kiongozi, ubarikiwe in advance.
 
Raha ya skrill uwe na line ya safaricom. Fungua skrill ya tz ila wakati wa kutoa wewe wafanya kama vile unatuma halafu chagua unamtumia mtu aliyeko Kenya itakupa option ya kutuma safaricom mpesa weka namba yako ya safaricom tuma hapo hapo unapokea muamala na haina gharama labda kwenye fx
 
weka fursa hapa kwa faida ya wote kiongozi, ubarikiwe in advance
Website nzuri in surveyah.com,afrisight,surveyor monkey, n.k izo ili upige pesa na survey nyingine
-Uwe na simu yenye kupiga picha clear
-Information unazozitoa hakikisha unazikumbuka vyema usidanganye maana utasahau ukisahauu unakosa kazi nyingi
-Hakikisha unaingia kila wakati kuchek kama kuna surveys
-Ukiwa unafanya survey kama ni dk15 hakikisha unafanya ipasavyo usikatishe katishe
-Usiongope maana sometimes huwa wana kutrick ili waone kama u mkweli
- Zipo outreach surveys hizo ndo zina pesa sana ila utazipata ukishakuwa pro mfano unaweza pewa task za kwenda ktk betting hall unawavquestion watu n.k
-Unaweza ambiwa upige picha homeless, wanyama, vilema, watoto, n.k unapofanya task nyingi na kwa usahihi ndivyo chance ya kupiga pesa inavyoongezeka

Hii n nzuri kwa wasio na mitaji na wana muda.

All in all Forex is my big deal
 
nimeisave kabisa
 
blessed mkuu
 
Naomba maelezo yke zaid
 
Tuelekeze zaidi tuelewe
 
Tuelekeze zaidi tuelewe zaidi
 
Naomba endelea Kaka how to join ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…