Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Sema izi platform za kuverify orders sahizi zipo nyingi sana, kuna moja nmejiunga juzi yenyewe ukikamilisha tu usajili unapewa $15 ambayo ukicomplete orders kwa siku 3 ndo unaruhusiwa kuitoa

Kwahyo mi nmejiunga baada ya kucomplete orders kwa izo siku 3 salio likaongezeka zikafika $22 nimezitoa nasubir iddi

Ukipata mda pitia iyo platform [emoji116]

Jiunge walau upate kapesa ka kula sikukuu
Ukikwama nicheki tsapp0710705075
Zipo nyingi asee,,khaa ila hii ni kiboko maana hata commission yake ni kubwa
 
Mishe za referal na kuwekeza wekeza ndizo zina hatari. Ila ukifanya kazi za ukweli ukweli huko fresh unapiga mkwanja wako bila tatizo
mkuu shida nayoiona hapa ni moja kwa sisi wabongo

mtu anataka ndani ya siku moja atengeneze pesa,atoe,alipe kodi,apost status plus showoff na zile emoj za kucheka.

kuna kadada kamoja nilikaonesha inshu moja na nikakaelekeza .kalifanya ndani ya mwez kakapokea kama 600k ,ebaneee vijembe vikaanza huko status kuwaona wengne wapuuzi, bahat mbaya na huo mchongo haukuchukua round ukagoma.

ila sikalaumu kalinitunuku mbususu kama shukrani
 
Mkuu nicheki pm mie nakuajili uwe unanitredia akaunti yangu ya forex halafu mie nitakuwa nakulipa hizo dola mbili.
Naomba ingia pm unipe namba yako tuyajenge.
Nitakupa rules zangu na risk management. Usije ukabugi termination fasta.
Nahitaji uwe 🤖 nakupa rules kidogo Sana ambazo ni rahisi kuzishika.
 
Najua 100% ni scam na ndo mana sijaweka hela yangu yoyote ila nimetoa $22 baada ya kuitumia siku 3

Alieanzisha hii platform anataka kuvuta watu wengi ili aje awapige vizuri ndo mana ukijiunga tu unapewa $15 sasa ikitokea umeingiwa na tamaa ukaamua kuwekeza ili upate hela nyingi zaidi, apo sasa utakutana na kitu kizito
Unapata faida gani kuwahadaa wenzako?

Screenshot_20220427-111206.png
 
Unapata faida gani kuwahadaa wenzako?

View attachment 2202129
Na mimi it didnt make sense kuwa wakupe $15 na uweze kuitoa hakuna kitu kama hicho.
Sema sikutaka kubishana naye kwasababu sikuwa na uhakika maana siitumii. Ila details zote zinaonyesha site ni scam. Kwanza imefunguliwa tarehe 18 mwezi huu.
 
Mkuu hata kama ilikuwa ni site ya kweli. Jamaa hakupaswa kabisa kutuhakikishia ametoa pesa. Wabongo wenzake wakipigwa sijui yeye anapata kamisheni? Na sidhani JF kama kuna mtu anaweza kuweka pesa zake ziliwe kizembe hivi.
 
Anataka apate referal hao 150 aone kama ataweza kuitoa ndo maana hakuwaambia ukweli.
Na bila shaka hata baada ya referal huenda isitoke.
Hakuna kitu kama kukamilisha order, order hazikamilishwi hivyo ndugu zangu.
 
Bado namuona miyeyusho tu na mshamba. Alipaswa kusema kweli kwamba na yeye anajaribu. Unless awe ananufaika moja kwa moja na huu utapeli.
 
10,000 unalipwa 500 perday
50,000 unalipwa 2500 per day
100,000 unalipwa 5000 per day
200,000 unalipwa 10,000 per day

yan 5% ya deposited amount

kazi yako unapay order 20 per day ni kazi ya dakika pungufu ya 10.

app ina interface safi. ukiinvite watu wakifanya successfully first deposit unalipwa 2000 per person...

inasapoti malipo yote tigopesa mpesa airtel money etc
au usdt pia inakubali ...
ukikwama nitafute [emoji395]
 
Mkuu nicheki pm mie nakuajili uwe unanitredia akaunti yangu ya forex halafu mie nitakuwa nakulipa hizo dola mbili.
Naomba ingia pm unipe namba yako tuyajenge.
Nitakupa rules zangu na risk management. Usije ukabugi termination fasta.
Nahitaji uwe 🤖 nakupa rules kidogo Sana ambazo ni rahisi kuzishika.
Kwa nn usitrade mwenyewe mkuu??
No hard feelings, just curious
 
10,000 unalipwa 500 perday
50,000 unalipwa 2500 per day
100,000 unalipwa 5000 per day
200,000 unalipwa 10,000 per day

yan 5% ya deposited amount

kazi yako unapay order 20 per day ni kazi ya dakika pungufu ya 10.

app ina interface safi. ukiinvite watu wakifanya successfully first deposit unalipwa 2000 per person...

inasapoti malipo yote tigopesa mpesa airtel money etc
au usdt pia inakubali ...
ukikwama nitafute [emoji395]
Hamna kitu hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna zile survey app ambazo hutoa task ya kupiga picha zile ndo zinaweza kukupa hiyo range ya dollar 2 (japo sio mara zote utakutana na task ya namna hiyo)

Nadhani zile hazihitaji capital zaidi ya bundle lako tu

Mfano unaambiwa ukafanye survey kwenye ofisi za western union, huko unatakiwa ukapige picha na picha inatakiwa imekidhi vigezo ukileta janja janja haikubaliwi na mara nyingi task hiyo huwa inakupa 12,000 Tsh
Mfano wa apps??
 
Appen wana survey nyingi ila ukiweza kuwacheat kuwa uko kenya utapata kazi nyingi za kiswahili ambapo wanalipa 2.5 to 5$ kwa saa na unafanya masaa 20 kwa week ukisikiliza na kireview sauti.
Otherwise wana kazi za kukusanya picha pia kwa ajili ya kutrain AI.
Dah i wish ngejua mapema...nmeandika tzee
 
Back
Top Bottom