Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

Proffesa narudije Tena shule
Wewe ni muongo, unapostigi vitu tofauti, sasa kamshahara ka laki tano hapo bado makato, utabaki na laki nne, halafu unadai unatembea kwenye V8, kazi ya take home ya laki nne ndo ya kusema mademu wanajipendekeza kwako? Acha uongo we mtoto.
 
V8 sio langu ni la Dem wangu. Halafu madem wakiona unaamka asubuhi umechomekea unatoka unaenda sehemu lazima tu wajipendekeze. Ukiwa jobless huwezi kuelewa
 
Ni Wewe juzi umetoka kusema tukupigie hesabu mshahara wako unatoka na take home kiasi gani maana ndo umepata kazi saizi .... Jana mchana unasema jamaa aliyekuunganishaga kazi kila mwezi Hua anafoki umtatulie shida zake,, mara na Leo huu tena
Unamfukulia makaburi yake ya kale 🤣🤣
 
V8 sio langu ni la Dem wangu. Halafu madem wakiona unaamka asubuhi umechomekea unatoka unaenda sehemu lazima tu wajipendekeze. Ukiwa jobless huwezi kuelewa
We ni muongo, kazi gani ya taasisi ina mashahara wa laki tano? Hili ndo tatizo la kutunga Uzi kila leo, unakuwa muongo halafu huna kumbukumbu
 
Mzee mwanzoni nliandika mshahara wa kweli ila nikaedit kuweka laki5 maana niliona Hr wangu anaweza akapitia uku akansanukia
 
Ndoto za mchana hizi
 
Mods wanakazi kubwa sana mwaka huu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…