Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

IsaacMG

Member
Joined
Dec 6, 2019
Posts
79
Reaction score
105
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,

Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?

Naombeni majibu wakongwe.
 
Ngoja twende kwenye VAR, unaweza kuleta hizo meseji?
1000021179.jpg
 
Duh unavunja ndoa kisa meseji... Achana na hiyo makitu bro, halafu simu ni private inakuaje unapekuapekua simu ya mwenzako? Kwani line yake alisajili kwa jina la familia au jina lake? Haya... We tangu ufunge ndoa haujawahi kutongoza huko nje? Hilo boriti vp hapo kwako?

Ndoa is all about sharing life and making family... Kaeni myajenge yaishe
 
Unamponza mwenzako, hapo hakuna mke.

Ndoa inapaswa kuwa na utmost faithfulness, akishaanza kutamani madume ya nje huko ujue hapo hakuna kitu huna chako.

Mimi hata nikiona viashiria tu yaani hata nikinusa tu harufu ya usaliti hata kwa facial expressions tu nakutimua instantaneously.

I am very serious sitakagi michezo kabisa.

Cc: Lamomy Kalpana Poor Brain Extrovert
 
mna mda gani kwenye ndoa?? una miaka mingapi? kwangu mm kama ningekua ni wewe ningemkalisha chini tuongee kirafiki tu kwamba hio ni alert ajue kabisa yupo danger zone one mistake one goal, akae kwa akili afikirie kama anataka kuendelea kua mke aachane na huo upuuzi kama hataki aendelee kumuentertain tu, halaf acha kukagua sim sio yako, unatafuta nn? unaona unakutana na mambo yanayokukera sasa? trust imekua shaken,
 
Back
Top Bottom