Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

Mtu akiniletea kadi ya mchango wa harusi, mara nyingi huwa sichangiiii.

Coz ni kama huwa najua pesa zangu zinaenda kupotea tu.

Hasa kama bwana na bibi harusi=

wanafanya kazi zenye vipato vinavyofanana.

walikutana ki mjini mjini.

bi harusi ana tattoo.

bi harusi ni mtu wa socha netiweki (insta, fb, badoo, x etc)

bwana harusi analia lia kama PILIPILI.
 
Mkuu usichokielewa Ndoa kwa Mwanaume ni mjumuisho wa majukumu mazito sana, wakati kwa mwanamke ni sehemu ya kupata pumziko la kudumu la shida zake
Kinachotokea ukisha funga ndoa, unakua umempa mwanamke amani ndani ya moyo wake, sasa hapo anarudi kwa makoloni yake ya nyuma, hapo hapo anatengeneza nafasi nyingine mpya, kwakua anakua hana cha kupoteza kwenye maisha yake

Kwa mantiki hii Mwanaume unapaswa kutuliza sana akili ukifikia hatua ya kuoa, na ukiona huna uhakika wa kuweza ku stahimili majukumu mazito ya ndoa bora ukae pembeni uwe mlezi
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,

Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?

Naombeni majibu wakongwe.
Unaendelea nae.
Halafu .uje umuumize moyo kwa kuchat hata na dada yako tu, halafu aki panic unamjuza ulichat na nani kisha muoneshe mi meseji yake ya kutongozana.
Hata kaa akusaliti labda liwee ni nungayembe
 
Back
Top Bottom