Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

One mistake,amazing goal
1737653985552.gif
Kwa hio mkuu kuwa makini na mkeo
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.
Usikimbilie kuvunja ndoa mkuu. Jipe likizo flan hata ya miez 3 na fikiria sana watoto mkeo sio ndugu yako
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.
Katongozwa tu unataka kuvunja ndoa 😀😀ukimfumania je😀
 
itokee siku moja watu wa 5 tu wa jf wasifie ndoa jamani ili kutupatia moyo sie tulio mbioni kuingia kwenye ndoa,yani wengi humu ni broken tuuu,,,ila nashukuru Mama Mwana hunitia moyo sana😌

nb usimuache kisa mesej, mwanamke kutongozwa ni sifa ila kukubali ni akili yake,,, tuone screenshot kwanz.
 
meseji tu ushafikia conclusion unataka kuvunja ndoa atavunja ndoa ngapi kwa kila kosa? je huyo dada hili n kosa lake la ngapi? alishawah kufumwa huko nyuma au ndio mara ya kwanza?
Ni usaliti kuuvumilia ni gharama zaidi.
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex, je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.
Endelea nae tuu mambo ya wivu kwa mbususu yamepitwa na wakati.
Hakimisha m apiga threesome lakini
 
Back
Top Bottom