Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

itokee siku moja watu wa 5 tu wa jf wasifie ndoa jamani ili kutupatia moyo sie tulio mbioni kuingia kwenye ndoa,yani wengi humu ni broken tuuu,,,ila nashukuru Mama Mwana hunitia moyo sana😌

nb usimuache kisa mesej, mwanamke kutongozwa ni sifa ila kukubali ni akili yake,,, tuone screenshot kwanz.
Kabla sisi hatujawatongoza, nyie huwa mnatutongoza kwanza. Sisi huwa hatutongozi Kila mwanamke.
 
Onhooo kwaio unataka kusema tuache kupendeza ili msitutongoze sio
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,

Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?

Naombeni majibu wakongwe.
Umeoa kahaba tukusaidieje?
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,

Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?

Naombeni majibu wakongwe.
Lifkuze tu hilo
 
itokee siku moja watu wa 5 tu wa jf wasifie ndoa jamani ili kutupatia moyo sie tulio mbioni kuingia kwenye ndoa,yani wengi humu ni broken tuuu,,,ila nashukuru Mama Mwana hunitia moyo sana😌

nb usimuache kisa mesej, mwanamke kutongozwa ni sifa ila kukubali ni akili yake,,, tuone screenshot kwanz.
Mkuu achana na hayo mawazo ya kuoa.
 
Kama bado we jikague una shida gani halafu rekebisha, hata kubali tena
 
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,

Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?

Naombeni majibu wakongwe.
Online affairs

An online affair is one of the forms of cheating. It is a relationship with intimate and sexual undertones that thrives online through texts, calls, and video calls.

The parties may not even know themselves apart from the basic information such as age, profession, and physical appearance from pictures shared.

Usaliti kwa njia ya mtandaoni
mapenzi ya mtandaoni ni mojawapo ya njia za usaliti. Ni uhusiano wenye hisia za ndani na za ngono ambazo hustawi mtandaoni kupitia SMS, simu na simu za video.
Wahusika wanaweza hata wasijitambue mbali na maelezo ya msingi kama vile umri, taaluma, na mwonekano wa kimwili kutoka kwa picha zinazoshirikiwa
 
Back
Top Bottom