Nipeni ushauri maana nataka kuivunja hii ndoa

Usikimbilie kuvunja ndoa mkuu. Jipe likizo flan hata ya miez 3 na fikiria sana watoto mkeo sio ndugu yako
 
Katongozwa tu unataka kuvunja ndoa 😀😀ukimfumania je😀
 
itokee siku moja watu wa 5 tu wa jf wasifie ndoa jamani ili kutupatia moyo sie tulio mbioni kuingia kwenye ndoa,yani wengi humu ni broken tuuu,,,ila nashukuru Mama Mwana hunitia moyo sana😌

nb usimuache kisa mesej, mwanamke kutongozwa ni sifa ila kukubali ni akili yake,,, tuone screenshot kwanz.
 
meseji tu ushafikia conclusion unataka kuvunja ndoa atavunja ndoa ngapi kwa kila kosa? je huyo dada hili n kosa lake la ngapi? alishawah kufumwa huko nyuma au ndio mara ya kwanza?
Ni usaliti kuuvumilia ni gharama zaidi.
 
Endelea nae tuu mambo ya wivu kwa mbususu yamepitwa na wakati.
Hakimisha m apiga threesome lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…