Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

mr fish

Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
7
Reaction score
25
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hazina ya watoto.

Mwenzenu nimekwama. Naomba ushauri
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Kwahiyo tukusaidieje mwanaume kama wewe?
 
Miezi saba mingi sanaaa, lazima ameumia sana sana..

Hili tatizo kubwa sanaaaa.. Limekuwa la kisaikolojia.

Sio peke yake kuwa hivyo duniani.. Wanaume huwa hamsikii mkianza kupewa warnings ila ndio matokeo yake hayo.

Badilisha maisha nae.. Anza kuanza kumwambia muende likizo nyie wawili sehemu.. Nchini kuna vivutio vingi pa kutulia.. Ili aje aseme yote uongee akili hapo.. Sehemu ya kula kulala tu kila baada ya muda kidogo uone itakuwaje..

Ikigoma kubadili hata kidunchu.. basi imetoka hiyooo kweli kweli
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.J

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Navumilia tu mimi navumilia (Bwana nateseka ) Navumilia tu kwani ipo siku ya kwishaaaa
Kibwagizo..........

Shida kubwa ni kwamba una lazimisha kitu ambacho mwenzio hakipo tena.

Mwenzako kasha achieve target zake hata ufanya vipi ndo basi tena kubaliana na matokeo. Huko unakoenda eti watoto watateseka wakati aliye beba mimba miezi9 na kuumwa uchungu hana habari ya wtoto kuteseka wewe hiyo habari unaitoa wapi?

WEWE PIGA CHINI NA USIMFUKUZE HAPO HAMA UWE UNAKUJA KAMA MGENI NA USIMFUKUZE KABISA AKIENDA MAHAKAMANI KUDAI TALAKA KATAA KWANZA MYUMBISHE SANA.shida yenu tunapowaambia hapa mkipewa yteyte mnaanza kuropoka Etii NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE ALIKUWA ANASEMA NIKUACHE NIWE NAKUJA NYUMBANI KAMA MGENI.....sasa mkuu pambana.
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Utoto unawasumbua.Fumbueni macho.
 
Brother nikushauri yafuatayo!

1. Kama kweli una mienendo fulani kinyume na maadili ya ndoa basi badilika ujenge ndoa yako.

2. Kinyume na hapo, nakushauri acha kila kitu hapo wala usiage. ONDOKA. Hudumia familia hiyo ukiwa mbali nayo.
Amani ya moyo wako ni bora kuliko kila kitu. Mali umepata in 4 years, bado una muda wa kujenga empire yako nyngine.

Angalizo: Katika uhuru huo, usianzishe mahusiano mengine upesi ukawapa walimwengu yakusema.
Nawasilisha.
 
Nimekusikitikia sana brother, wewe ni Simp. Mruhusu aondoke hayo yote unayoyahofia kwa nini yeye hayahofii?. Yaan wewe unaogopa watoto/mtoto atateseka lkn yeye haogopi? Jitathimini brother na badilika mwanamke ukionyesha kumuhitaji sana atakusumbua sana
 
Miezi saba mingi sanaaa, lazima ameumia sana sana..

Hili tatizo kubwa sanaaaa.. Limekuwa la kisaikolojia.

Sio peke yake kuwa hivyo duniani.. Wanaume huwa hamsikii mkianza kupewa warnings ila ndio matokeo yake hayo.

Badilisha maisha nae.. Anza kuanza kumwambia muende likizo nyie wawili sehemu.. Nchini kuna vivutio vingi pa kutulia.. Ili aje aseme yote uongee akili hapo.. Sehemu ya kula kulala tu kila baada ya muda kidogo uone itakuwaje..

Ikigoma kubadili hata kidunchu.. basi imetoka hiyooo kweli kweli
Ndio akili za wanawake hizi, kwamba utumie gharama kuomba msamaha, na pesa ilivyo ngumu.
 
Tafuta suluhisho mapema iwe ni mpatane au uhame hapo ukatafute amani sehemu nyingine hapo uwe unakuja kusalimia familia na kutoa mahitaji.....haya mambo huanza kimzaha mwishowe hukomaa .... binafsi Nina mwaka wa nane Sasa kila mtu ana lala chumba chake Kwa mambo hayo hayo....Sasa hayazungumziki tena yeye ana jiona ana haki ya kua hivyo na Mimi pia najihisi kuonewa!talaka hataki kutoa Kwa kua tumechuma Mali pamoja....Mimi ni mwanamke kila nikidai talaka anasema sijagombana na wewe!.....haya yasikie tuu omba yasikukute
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
1. nina mtoto mmoja
2. watoto wataanza pata tabu!
Kisa cha kununiana na mkeo ni tabia yako ya uongo, yaani muongo muongo tu na uongo wako hujirudiarudia.
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Mara mtoto mara watoto, acha mambo ya kitoto. Hv we ni mwanaume kwl?
 
Kama kweli wewe ulifanya makosa unahitaji kufanya mawili
1. Mhakikishe kwamba umebadilika na muoneshe maisha mapya
2. Nendeni vacation uyamalize
3. Nendeni counseling ya ndoa ya ata mwaka, mara moia kwa mwezi
4. Anzeni kusali pamoja kwajili ya hilo suala
 
Tafuta suluhisho mapema iwe ni mpatane au uhame hapo ukatafute amani sehemu nyingine hapo uwe unakuja kusalimia familia na kutoa mahitaji.....haya mambo huanza kimzaha mwishowe hukomaa .... binafsi Nina mwaka wa nane Sasa kila mtu alala chumba chake Kwa mambo hayo hayo....Sasa hayazungumziki tena yeye ana jiona ana haki ya kua hivyo na Mimi pia najihisi kuonewa!talaka hataki kutoa Kwa kua tumechuma Mali pamoja....Mimi ni mwanamke kila nikidai talaka anasema sijagombana na wewe!.....haya yasikie tuu omba yasikukute
Alikufanya nini mkuu?
 
Kisheria mahakamani hata wewe si unaweza ukaandika talaka???
 
Back
Top Bottom