Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck