Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Nipeni ushauri: Mke wangu ameninunia kwa miezi saba sasa. Navumilia tu hata sijui mwisho wake

Hujapata wa kufanana nae, vunja hiyo ndoa na huyo sio chaguo sahihi!
Wa kufanana nae ndio huyo anaegongwa nje miezi 7 sijachoviya ningeanzisha timbwili tatizo vijana wanaoa mijamke iliyowazidi umri inaowaona km watoto mwanamke hakikisha umemzidi umri wa kutosha gepu liwe hata miaka 10 angalau sasa hii ya kupishana miaka 2/3 ni mbaya mnaonana wote mna mamlaka wote wakubwa hakuna wa kumsikiliza mwenzie

Mimi namzidi zaidi ya miaka 11 but still anasumbua kingese ila najua jinsi ya kumtuliza simpi anachotaka akitaka anarudi kwenye mstari watoto inabidi wawahi shule usiwacheleweshe watoto shule

Huyo umekosea sana miaka 4 ilibidi tayari awe na injini 4 zinazomsumbua sumbua huyu kanya pale huyu kakojoa huyu anataka uji huyu anabomoa remote yule kaangusha TV yule kakojolea makochi yule pale kabamizana wenzie huko nje kaumizwa yule kaangukiwa na meza yule kaoga rangi yaan inabidi usumbufu usumbufu wa watoto uwe mwingi mwingi halafu kidume ukija unaweka mambo sawa lazima akutazame usoni
 
Kwa kifupi alikubali kuolewa na wewe sio kwasababu alikupenda ilikuwa tu aolewe, inaonekana kuna aliyenpenda zaidi na huyo ndie anamtia kiburi, so kuna anaempenda zaidi yako, chakufanya piga chini endelea na maisha yako, atakutegeshea mtoto wa pili baada ya hapo atakusema mazima
 
Kwa kifupi alikubali kuolewa na wewe sio kwasababu alikupenda ilikuwa tu aolewe, inaonekana kuna aliyenpenda zaidi na huyo ndie anamtia kiburi, so kuna anaempenda zaidi yako, chakufanya piga chini endelea na maisha yako, atakutegeshea mtoto wa pili baada ya hapo atakusema mazima
Ilibidi ampige mimba mfululizo
 
Fact
Maelekezo Yako kidogo yanachanganya ila hapo yupo mtu nyuma ya pazia (unaibiwa na hujagundua tu ni ajabu). Kwa waumini wa kiislamu mwanamke akikunyima sex kwa makusudi kwa miezi 3 (90 days) hamna ndoa, talaka hufuata. Maana hairuhusiwi kununiana zaidi ya siku 3 kwa waumini.
 
Hongera umetambua thamani ya ndoa yako ndomana upo hapa kuomba ushauri wenzio hawalioni hilo,me kuomba msamaha/kutambua makosa yake sio kuwa dhaifu bali ni kuwa matured,ni maombi yangu mkeo afungue moyo wake na arudishe mapenzi upya mlee familia yenu kwenye misingi imara
 
Mkuu usipovunja hiyo ndoa itakuua! Tafuta mwanamke mwingine anza naye upya halafu hayo mengine yatajitatua taratibu. Jambo la msingi ni kuhakikisha michongo yako inaenda na usikose kusimama juu kiuchumi muda wote. Kama kuna mali zitapotea acha zipotee. Kuhusu watoto wewe nimesema hakikisha uchumi wako uko imara,watoto wataenda sawa tu. Kwani jamaa zetu waliokufa watoto wao hawataishi?

Usiwe soft kiasi hicho mkuu,utakufa soon kwa dipression!
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck

Unakwama sana, Mwanamke baada ya kumkosea Mungu, Mungu alisema tamaa yake itakuwa kwa mwanaume na mwanaume atamtawala!

Sasa mwanamke utawaliwa na mtu anayemtamani, na kwa maana hiyo yupo mwanamme anayemtawala mke wako maana anamtamani!

Puuza hiyo taka taka itakuja kukuua, una mtoto mmoja tu sio kesi sio issue, tafuta mchepuko huko, pangishia nyumba, mle taratibu!

Ukimpuuza huyo mwanamke for one week, usiongee, usile chakula chale, rudi Saa 7 usiku, usigombane, usimjibu chochote, ataanza lia lia!

Mnawapa sana promo hawa viumbe, hawana maana yeyote mkiwapuuza, yanatesa sana hayo matakata yasipokuwa na nidhamu!
 
Miezi saba mingi sanaaa, lazima ameumia sana sana..

Hili tatizo kubwa sanaaaa.. Limekuwa la kisaikolojia.

Sio peke yake kuwa hivyo duniani.. Wanaume huwa hamsikii mkianza kupewa warnings ila ndio matokeo yake hayo.

Badilisha maisha nae.. Anza kuanza kumwambia muende likizo nyie wawili sehemu.. Nchini kuna vivutio vingi pa kutulia.. Ili aje aseme yote uongee akili hapo.. Sehemu ya kula kulala tu kila baada ya muda kidogo uone itakuwaje..

Ikigoma kubadili hata kidunchu.. basi imetoka hiyooo kweli kweli
Hajisikii maana yake kuna sehemu anafurahi na kujisikia
 
Tafuta suluhisho mapema iwe ni mpatane au uhame hapo ukatafute amani sehemu nyingine hapo uwe unakuja kusalimia familia na kutoa mahitaji.....haya mambo huanza kimzaha mwishowe hukomaa .... binafsi Nina mwaka wa nane Sasa kila mtu alala chumba chake Kwa mambo hayo hayo....Sasa hayazungumziki tena yeye ana jiona ana haki ya kua hivyo na Mimi pia najihisi kuonewa!talaka hataki kutoa Kwa kua tumechuma Mali pamoja....Mimi ni mwanamke kila nikidai talaka anasema sijagombana na wewe!.....haya yasikie tuu omba yasikukute
Unataka talaka uende wapi???
 
Usaliti uwa ni mbaya sanaa watu hatujui tu...
Juzi kati alinipigia baba angu mdogo ambaye ni mstaafu wa mwaka jana mwezi wa 7

Dingi akawa ananieleza changamoto za mama angu Kua wanaishi hovyo sanaa na huu ni mwaka wa pili hakuna Ata sex na mama yupo tayar Ata aondoke ila sio swala la kusex wala kutoa huduma kama mke
Back then uyu dingi kipind yupo kwenye ubora wake alikua ni kicheche balaa ana watoto wawil nje tunao wajua ila kuna uwezekano kuwepo wengine, dharau na pesa yake haijulikani ilikua inaishia wap ya mshahara na mikopo yake mana mpk anastaafu ana nyumba moja tu ambayo ilianza kujengwa toka mwanzon mwa 2000s huko ulongoni gongolamboto watoto wala hakusomesha vizur yaan mambo hovyo hovyo tu..

Kilichokuja kumuumiza huyu mama ni kusikia jamaa kazaa nje na mwanamke kajengewa nyumba aisee hii 2018 hiv toka hapo huyo mama yupo yupo tu haelew kabisa

Ndugu nimekupa hii story kama somo ama casy study kama ugomvi unatokana na usaliti aisee una kazi ya ziada sanaa kurudisha hisia za huyo mwenza wako yaan jenga ukaribu sanaa na mfanyie hata vitu vikubwa kuliko uwezo wako Amani irudi mana unaweza Ata pewa sumu mzee...

Ebu imagine mimi nipo kwenye 30s mzee wA miaka 60 ananieleza mambo mazito kama haya kwa kutafuta sulushen toka kwangu
Noma sana na kiufupi hayo mambo ni mazito kwakoo huwezi fanya chochote.
 
Wewe ni mwanaume utakuja kuelewa mbeleni, mwanzoni nilikuaga najua Mzee wangu ni mzinguaji lakini nimekuja kumuelewa sasa kwa nini alikua anafanya anayofanya. Wanawake ni nuksi, unaweza ishi nae ndani anakuambia maneno ya ajabu hata ukimuona ukawa husimamishi.


Wanawake ni viumbee wa ajabu sana ingawa ndio mama zetu, dada zetu lakini akiwa mkeo au mpenzio basi huwa wanakua na akili mbovu sana.
Viumbe wa hovyoo sana ukiwazingatia aisee utapotezaa vingi.. Jamaa mtoto mmoja sio kesi sanaa kuhusu mali asamehee tuu japo avumilie maana hawa Nyoka hashindwi kumleta mwanaume ndani ya nyumba mliojenga wote.
 
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.

Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .

Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.

So no sex no talking tunaposhana kama mangombe. kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja

Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Fukuza hicho kimeo wewe, miezi 7 huyo anagongwa vizuri tu akirudi ananuna.
Hizo mbinu tu, mwanaume huwezi kutoa maamuzi huku unagongewa humo ndani.
Mali kitu gani.
Peleka kwao huko kabisa na aseme anachotaka hukohuko aendelee na life yake.
Mtoto atakuja tu au piga mwingine mimba sahau
 
Back
Top Bottom