Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa una mtoto mmoja.Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja .
Hapa watoto watapata tabu.Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck.
Kunywa nyagi au kvant lewa chakari ukamuombe msamaha piga magoti, mnyonye hadi papuchi ilimradi akusamehe kisha mgegede asubuhi hukumbuki chochoteNimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Hakika Uncle.Hili jamaa litakuwa limemwumiza sana! Na ukweli ni kwamba hawa wanawake hata kutoka nje ya ndoa chanzo huwa ni sisi wanaume mandezi! Unamwumiza miaka yote amekuvumilia tu mwisho wa siku anakata tamaa! Hili jamaa lingeyasema yote hayo linayoyaficha watu mngelia hapa kwa kumhurumia huyo binti!

Kwa nini ulioa mwanamke ambaye hakuelimika?Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Unaogopa nini kumwambia aache tabia ya kusema uongo hata kwa watu wasiomuhusu.Hata kama alikukuta kitandani na mwanamke mwingine hiyo ni too much.
She's planning to kill you.
Hesabu tu kuwa hiyo siyo riziki.
Kumbe unaunga mkono kuchepuka? Yaan jamaa aanze wapanga nje mmoja baada ya mwingine? Huo ndio ushauri wako maana wewe pia mchepuko?Hiyo michepuko mnachepuka na mbuzi mkuu?
sijakuelewa. dushe gani. mwaka wa nne tuko kwenye nyumba yetuKwa nini ulioa mwanamke ambaye hakuelimika?
Kwa nini unampiga dushe ya kitoto? Badilika
Huu ni mwaka nne hujamnunulia hata kufuli kisa unajenga
Madai yake ni mengi ila kubwa kuliko unamdhara kwa sababu elimu yake ndogo
Kumuinamisha km una kibamia kinaelea unafikiri anaelewa nini na yeye anataka hogo la jang'ombe limsugue pale kati?Kila siku nawaambia vijana wa kileo walogeni wake zenu Ninyi mnadai hakuna uchawi... Bila kumuinamisha mwanamke hutafanya kazi ikasonga mbele lazima atakuvuluga tu. Ss ona mwanetu anavyochanganywa badala ya kuwaza pesa tayari anatembea anawaza matatzo ya nyumbani kwake
Sijawahi kuwa mchepuko,ila kama hapewi na mkewe akamlale mamamkwe? Atoke nje awe na mpenz mmojaKumbe unaunga mkono kuchepuka? Yaan jamaa aanze wapanga nje mmoja baada ya mwingine? Huo ndio ushauri wako maana wewe pia mchepuko?
Hata wewe unaona ndoa ni utapeli bora kuchepuka tu yaan unakutana nae anakuondolea ukame wako baada ya hapo kila mtu atembee na njia yake sio kusumbuana?Ndoa is a scam thing....wanavumilia tu....
Bibi 🤣🤣Miezi saba mingi sanaaa, lazima ameumia sana sana..
Hili tatizo kubwa sanaaaa.. Limekuwa la kisaikolojia.
Sio peke yake kuwa hivyo duniani.. Wanaume huwa hamsikii mkianza kupewa warnings ila ndio matokeo yake hayo.
Badilisha maisha nae.. Anza kuanza kumwambia muende likizo nyie wawili sehemu.. Nchini kuna vivutio vingi pa kutulia.. Ili aje aseme yote uongee akili hapo.. Sehemu ya kula kulala tu kila baada ya muda kidogo uone itakuwaje..
Ikigoma kubadili hata kidunchu.. basi imetoka hiyooo kweli kweli
Wenye kubahatika watabahatika ila ndoa isiwekwe kipaumbele kuliko amani na utulivu wa nafsiHata wewe unaona ndoa ni utapeli bora kuchepuka tu yaan unakutana nae anakuondolea ukame wako baada ya hapo kila mtu atembee na njia yake sio kusumbuana?
Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla hatujaoana .
Nimembembeleza nimejaribu kuitishana vikao na wazee amekubal ila sasa amekubali ilimradi kuwaridhisha wazee, maana baada ya hapo anasema kama tunaishi ili watu waone sawa.
So no sex no talking tunapishana kama mang'ombe. Kuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
kivipiUtoto unawasumbua.Fumbueni macho.
Mnavyopenda vacation..
ndoa ya kikristoAcha kua king'ang'anizi,mpe talaka aende zake.
Ww umeona kuinamishwa akili Yako ukaipeleka kwenye dogstyle sioKumuinamisha km una kibamia kinaelea unafikiri anaelewa nini na yeye anataka hogo la jang'ombe limsugue pale kati?