Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache mwenzio naye awe na wivu na mke wake. Unafikri kumwachia mke ni rahisi kihivyo? Wewe mwenyewe una wivu mpaka ukiwa marehemu sasa kwa mzima itakuwaje?Navumilia tu mimi navumilia (Bwana nateseka ) Navumilia tu kwani ipo siku ya kwishaaaa
Kibwagizo..........
Shida kubwa ni kwamba una lazimisha kitu ambacho mwenzio hakipo tena.
Mwenzako kasha achieve target zake hata ufanya vipi ndo basi tena kubaliana na matokeo. Huko unakoenda eti watoto watateseka wakati aliye beba mimba miezi9 na kuumwa uchungu hana habari ya wtoto kuteseka wewe hiyo habari unaitoa wapi?
WEWE PIGA CHINI NA USIMFUKUZE HAPO HAMA UWE UNAKUJA KAMA MGENI NA USIMFUKUZE KABISA AKIENDA MAHAKAMANI KUDAI TALAKA KATAA KWANZA MYUMBISHE SANA.shida yenu tunapowaambia hapa mkipewa yteyte mnaanza kuropoka Etii NIKIFA MKEWANGU ASIOLEWE ALIKUWA ANASEMA NIKUACHE NIWE NAKUJA NYUMBANI KAMA MGENI.....sasa mkuu pambana.
Limeyakoroga halafu linakuja kutusumbua hapa!Kuna mijaunaume myenzetu huwa mna ubwege vichwani.
Talaka ya nn? Akaanzishe familia ingine sehem ingine ... Kwa mnunaji anakaa wiki 1 Kila mwezi,l KWINGINE Wiki 3 Kila mwezi. Akitaka takala anapewa anasepa zake. Full stopAcha kua king'ang'anizi,mpe talaka aende zake.
Ni kweli kabisaNimekusikitikia sana brother, wewe ni Simp. Mruhusu aondoke hayo yote unayoyahofia kwa nini yeye hayahofii?. Yaan wewe unaogopa watoto/mtoto atateseka lkn yeye haogopi? Jitathimini brother na badilika mwanamke ukionyesha kumuhitaji sana atakusumbua sana
😂Mwache mwenzio naye awe na wivu na mke wake. Unafikri kumwachia mke ni rahisi kihivyo? Wewe mwenyewe una wivu mpaka ukiwa marehemu sasa kwa mzima itakuwaje?
Sema huyo mke ni noma kuishi na mtu wa hivo ni hatari, mtu gani hawezi kusamehe?tuambie hayo unayoyarudia ili tujue,tusimame nawewe au mkeo.
Ndio akili za wanawake hizi, kwamba utumie gharama kuomba msamaha, na pesa ilivyo ngumu.
Jicho lote ametolea hapo ulichelewa ku-neutralise hio kitu usimuonyeshe mwanamke unampenda sababu ya mali ulizo nazo hio ndio ataitumia km silaha ya kukuangamiza na utaangamiakuachana nae nahofia mwanangu na mali tulizotafuta kwa pamoja
Nahofia tukiachana kila kitu kitasambaratika na watoto wataanza pata tabu mana mali ndio hadhina ya watoto. am stuck
Atoe pesa tena ili iweje? Mwanamke gani huyo ambae ukimpa 100 hatotaka 1000 na ukimpa 1000 hatotaka 10,000 na ukimpa 10,000 hatotaka 100,000 yaan kidogo ukimpa anakizidisha ×10Wewe shauri lako, kosa lake kwani gharama shida nini kama anataka kusevu ndoa yake..
Akili zingine kama zako ni janga... Hauna pesa nyamaza acha wengine wajue kubembeleza..
Mwanamke habembelezwi Kwa nguvu kubwa, ukiona mwanaume anatumia nguvu kubwa kukumbeleza basi humpendi. Na hata kama ukimsamehe siku akikukosea tena hutotaka kupelekwa mbugani Tz utaomba ununuliwa Subaru Ili umsamehe, siku nyingine akikosea tena utaomba upelekwe Dubai Ili umsamehe.Wewe shauri lako, kosa lake kwani gharama shida nini kama anataka kusevu ndoa yake..
Akili zingine kama zako ni janga... Hauna pesa nyamaza acha wengine wajue kubembeleza..