Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

Nipeni ushauri nisome kozi gani Certificate niweze kuwa Afisa Mtendaji wa Kata

Unasoma degree kweli??

Yaani ukope Bank kwa Riba ya asilimia 17% kwa mwaka, halafu uweke let's bank (bonds, TBs, au Fixed account) wanakotoa Riba ya asilimia siyo zaidi ya 12%.

Hizi zitakuwa akili au TOPE??
Lakn hapo kumbuka nmetumia 8m kwnye kuwekeza na sjasema kama iko kiwanja ntajenga nyumba pia maana ntanunua ili niuze pia
 
Crdb nimesikia juzi wana mpya’ miaka 9.
Lakini mikopo ya muda mrefu kutoka hizi bank ni utumwa sana.

Miaka 9 ni theluthi (1/3) ya maisha ya Utumishi.

Na ndani ya miaka 9, Kama ulikopa ukiwa mwenyewe, ndani ya miaka 9 Utakuwa na familia mtoto mkubwa inasomesha lakini bado una deni kubwa la bank kulipa.

Utaishi maisha magumu sana. Utaanza Sasa, kufanya top up ya Deni lako kila likipungua kidogo au kila ukiongezwa Mshahara kidogo.

Utakuwa mtumwa wa madeni.
 
Lakini mikopo ya muda mrefu kutoka hizi bank ni utumwa sana.

Miaka 9 ni moja ya watu ya maisha ya Utumishi.

Na ndani ya miaka 9, Kama ulikopa ukiwa mwenyewe, ndani ya miaka 9 Utakuwa na familia mtoto mkubwa inasomesha lakini bado una deni kubwa la bank kulipa.

Utaishi maisha magumu sana. Utaanza Sasa, kufanya top up ya Deni lako kila likipungua kidogo au kila ukiongezwa Mshahara kidogo.

Utakuwa mtumwa wa madeni.
Unachukukua 23m unaanzaje tena kukaa kutegemea 700k kwa mwez ndo ikuendeshee maisha?
 
Back
Top Bottom