Nipeni ushauri wadau

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah, niliposema nakunywa bia za buku sh tano haikuwa bei bali ni indentity ili na nyie mjue ni bia ainq gani, .hivi Pic kali yenye jina utaipekela uswazi jmn

Hapa tulipo ni members tu, walinzi wangu wamemzuia ila analia anataka tuondoke...nimegoma

Nahisi kuna ujmbe wangu hapa
..subirini nawajuza
 
Usikubali kirahisi rahisi
 
Ulikua unakunywa balimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usikubali kirahisi rahisi
Upo na pointi...demu anataka tusepe mie nataka kujua dharau hii imetoka wapi...analia kwamba am not carely..namnyamyasa
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…