Nipeni ushauri wadau

We naye unakuwaje mrahisi hvyoo
Mhudumu angetaja aliyenunua hizo savana umjue bwana
Kagoma kabisa, nilivyombana saana walinzi wa hapa wakanifuata kisiri kwanba yaishe..ndo ugomvi ukaanzia hapo.

Mhudumu kagoma.kabisa kusogea kwanza simwoni tena hapa...ni soo kubwa.
 
Kagoma kabisa, nilivyombana saana walinzi wa hapa wakanifuata kisiri kwanba yaishe..ndo ugomvi ukaanzia hapo.

Mhudumu kagoma.kabisa kusogea kwanza simwoni tena hapa...ni soo kubwa.
Basi sepa mkuu hamia kwingine...
Ila angalia sana siku ishaharibika hyo waweza anzisha soo uendako ukajikuta unarudi hom jumapili au j3 ukitokea mabatini
 
Kwa hiyo umezidiwa nguvu...maji marefu huvukii?
Dah Pole...
Itakuwa huyo jamaa anataka kumiliki huyo demu wako na ukute namba ashashikishwa tayari bila ww kujua
Uyo jamaa alonunua izo savanna Huenda Ni mtu wake uyo dem, kafanya kusud ili Dem ajue kamuona[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujana maji ya fire..

Tulia mzee, siku zote akili ziwe myingi kuliko miguvu.
 
[emoji849][emoji849][emoji849]

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…