Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

Nipigwe ban Simba Leo asipo pata ushindi wa goli moja au kutoka moja moja

KUoata kituko kama hiki

Andika
VITUKO KWENDA namba 15677
 
Usitupotezee muda, ukipigwa ban ww itatusaidia nn? Hata usipokuwa member humu jf huongezi wala hupunguzi chochote, kama unajiamini weka mkeka ule hela ...sio kupayukapayuka....alaaah.
Hakuna jf bila Watu na hiyo inaanza na Mtu!

Wewe ndo hujui Umuhimu wako subiri shemeji Yako arudi kazini umpokee mfuko wa chips yai zawadi ya Dada yako ambae anazilipa usiku kwa niaba yako.
 
Ban ya nini wewe utakula muhindi tu!
20250517_201848.jpg
 
Back
Top Bottom